Air Hostess hawajaguswa kweli?Tushukuru, tumeishavuka mawimbi hayo
yaliyopita si ndwele tugange sasa yajayo 😎
Haswaa!..Tungesikia vilio badala ya kicheko. Si ulisikia kicheko cha McLaren ?
unajibu kigaidiAnzisha mada nyingine. Hapa tunahimizwa kutoa shukrani tu
Mnafki wa kiimani kama wewe ila tofauti na wewe yeye anajikubali kwenye ubora wakeFeiza ni nani?
kwa nini unaanzisha halafu unakuwa na majibu radical hivyo?Nimejibu kwa upendo. Magaidi wako huko Mashariki ya Kati.