Upeo wa vipngozi wa yanga na simba

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
230
348
Habar wakuu,nimeona tuchanganue upeo wa viongozi wetu wa klabu ya simba na yanga ili tupate mwangaza kidogo ni uongozi wa klabu gani upo makini

Kama unavyojua ,Anza kama hivi;

wakati raisi wa yanga yupo south afrika kufuatilia baadhi ya wachezaji wa kuwasajili dirisha dogo lakini viongozi wa simba wapo busy kunyoosheana mikono kisa kufungwa tano na mtani
 
Tuanxe na mashabki, ni timu gani ina mashabiki mbumbumbu. Critical thinking analyses the audience
 
Habar wakuu,nimeona tuchanganue upeo wa viongozi wetu wa klabu ya simba na yanga ili tupate mwangaza kidogo ni uongozi wa klabu gani upo makini

Kama unavyojua ,Anza kama hivi;

wakati raisi wa yanga yupo south afrika kufuatilia baadhi ya wachezaji wa kuwasajili dirisha dogo lakini viongozi wa simba wapo busy kunyoosheana mikono kisa kufungwa tano na mtani
Na kuzengea supu yetu.
 
Back
Top Bottom