Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

Yaani Gwakisa umeandika upupu tu.badala ya kuonyesha ujio wa Pm kuwa umezaa hiki na kile...wewe lengo lako ni vingola au suti za wageni. Yaani mtu wa Tukuyu unandika vitu cheap kama unaishi nchi ya kusadika?
Barabara za mwakaleli katumba; Lwangwa_ tukuyu, barabara za kuunga ile je- kyela na tkuyu zikiwa zenye hali mbaya had wananchi kutumia kitepu tepu kuvuka mito mikubwa. Pm hajaziongelea ila wewe unamshukuru. Wewe ni msomi uliokombolewa kweli??
Mkuu vipi ile barabara inayoelekea lutengano kutokea pale Kyimbila(kama nakumbuka jina vizuri) imepigwa lami? maana nimetoka huko mara ya mwisho 1992.
 
Haya ndiyo mambo anatakiwa Waziri Mkuu aje aone.
Njia hii toka ukoloni hadi leo hakuna lami.
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.

Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.

Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
Aisee kwani si niwajibu wake, au alikuja KWa nauli yake kutoa mfukoni,? Kama sivyo asante za nini ,Hamnaga ya kuandika?
 
haikusaidii kitu
 
Aisee kwani si niwajibu wake, au alikuja KWa nauli yake kutoa mfukoni,? Kama sivyo asante za nini ,Hamnaga ya kuandika?
Mwendazake alikuja Mbeya mara ngapi?
Na hamkuuona unyanyapaa kwa mkoa huuwakati wa Awamu ya Tano?
 
Back
Top Bottom