Yaani hata mkiwa mmeshuka hukuweza kutoa shukran?Nadhani upo humu,
Kama kweli basi pokea asante yangu. Ilikuwa hivi:
Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport.
Mzee baba nikachomoka kwenye gari nikakimbilia kituo cha daldala chaap, (nilikua nishachelewa)
Nikazama nikapambania siti, hatimae nikapata safari ikiendelea ulekeo makumbusho,
Baada ya vituo kadhaa konda huyoo anapitia kudai chake, nikajisachi mifuko yote hakuna hata silva ukiachana na masimu tu. Hee nikakumbuka kumbe mzigo niliuacha pale kwenye gari nikaamka kama nilivyo. Nilifanikiwa kuokota simu tu! Daah itakuaje.
Konda alivyoona nazidi kujisachi bilamafanikio huyoo akaendelea siti nyingine. Baada ya muda konda huyo karudi tena. Daah Leo nishaumbuka!
Nikamwomba konda kwa upole kua pesa ipo kwenye simu nashuka mwisho wa gari nitakutolea kwa wakala nikishuka.
Dizaini konda akataka aanze kuzingua pale "tatizo muda" Daah mzee baba nikaona mzee mzima naumbuka leo. Basi nikatulia zangu tu siti ya upande wa pili kuna mdada kumbe alishachora michoro yote.
Ki buss hichoo kinaingia makumbusho huku naangazaaangaza sehemu ya mpesa nikishuka tu nimtolee konda pesa yake mwishowe kibasi kikasimama. Konda kakomaa mlangoni abiria ndio tunashuka.
Ghafla Mdada (mrembo) akanifata akaniminyia jero "mpe hii konda". Daah sijaamni macho yangu.
Nilishindwa kukushukuru pale public nimeona nije nikushukuru huku. Asante sana.
mshamba_hachekwi ona Kaka yako Huku.We mtoto wakike ni rahisi kumlainisha sio mpaka uumpe mahela mengi, we ukimpa tu ya vocha imetosha yaani lazima aingie kwenye laini
Taratibu ataanza kujipa mwenyewe, kwanza uzuri wanawake wanajua ukiwa anadate na mtu hoihoi anamfahamu kitambo kwahyo anatafuta namna ya kuishi naye
Alafu pia mademu wetu hawa huwa kuna vitu wanapenda kwa mtu unaweza ukawa na hela ila asikupende ila unaweza ukawa kijikuku tu fulani ila akavutiwa na ww
Ki ukweli hawa mademu ni wanamaajabu
Hebu njoo kulee kwan babaa tamuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo! [emoji23][emoji23][emoji23] haki nitakua relief somehow [emoji23][emoji23][emoji23]
🚮🚮 huyo sio kaka yangu kuna vitu nimemzidi😂 tataizo ana-overthink sanamshamba_hachekwi ona Kaka yako Huku.
Kwahiyo vocha inatosha? Hawajawai kueleweka ila tafuta hela utapunguza kelele na dharau za Ke wengi.
Ila atakuja kuwa vyema Sana muda utamfundisha🚮🚮 huyo sio kaka yangu kuna vitu nimemzidi😂 tataizo ana-overthink sana
Ahh, mi sikati pesa muhimu ila kuna other things apart from pesa ambazo girls huwa interestedmshamba_hachekwi ona Kaka yako Huku.
Kwahiyo vocha inatosha? Hawajawai kueleweka ila tafuta hela utapunguza kelele na dharau za Ke wengi.
Optimistic [emoji106]Ila atakuja kuwa vyema Sana muda utamfundisha
kazana bro naona mwangaAhh, mi sikati pesa muhimu ila kuna other things apart from pesa ambazo girls huwa interested
Nahisi yuko mmoja tu ambaye ni interest ila hataki tu kujionesha [emoji23]
Kumbe nafunguka [emoji28]kazana bro naona mwanga
Mmoja 😂Ahh, mi sikati pesa muhimu ila kuna other things apart from pesa ambazo girls huwa interested
Nahisi yuko mmoja tu ambaye ni interest ila hataki tu kujionesha [emoji23]
[emoji23][emoji23], ngoja aje pm mwenye interest na mie [emoji23]Mmoja [emoji23]
Changamkia fursa hiyo ila usiingie mzima mzima utajalia
uje uniite mbwa nimekaa paleaje pm mwenye
Kumbe n wa jf[emoji23][emoji23], ngoja aje pm mwenye interest na mie [emoji23]
Siwez ingia mzimamzima naingia kama mwanajeshi mguu pande mguu sawa [emoji23]
Humu, wengine wako huko WhatsApp [emoji23]Kumbe n wa jf
Kuwa makini Sana, mno
Hao wa whatsap sawa si mnafahamianaHumu, wengine wako huko WhatsApp [emoji23]
YahHao wa whatsap sawa si mnafahamiana