MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,356
- 3,626
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli
Kuna pisi ilinikanyaga kwenye mwendo Kasi pole na samahan zikawa nyingi nikachukua namba akaja kunikanda kidole.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli
Kuna pisi ilinikanyaga kwenye mwendo Kasi pole na samahan zikawa nyingi nikachukua namba akaja kunikanda kidole.
Huyu mwamba hata gari hana ni juakali tu!Mzigo Gani? Tena uliacha kwenye gari na wakati hata hela ya mafuta ulikuwa huna.