Asante sana Ngeleja

Asante sana Ngeleja

gazeti gani hili?huyu mwandishi yupo kwenye payroll ya milioni 400 ya ngeleja...hivi REA ilianzishwa na ngeleja?wadau nisaidieni hapa.
 
Daa kichwa cha habari mimi nilidhani mwenzetu umeuaga umaskini kwa kugawiwa kidogo vijipesa vya escrow na Bwana Ngeleja.

Nikupongeze lakini kwa kujali mazuri aliyowafanyia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Kwanini asiwe raisi,ww unazijua principles za good leadership? Kama unazijua weka jamvini then niambie nini Ngeleja amekosa, ukifanya hivyo nitakubaliana na ww,lakini ni dhahiri kuwa Ngeleja atosha uraisi 2015

Naona pesa za escrow zinawatia wazimu
 
Basi kweri CCM mgombea urais hamna. Si mbgewaachia UKAWA tu kwa busara, maana wote ni watanzania.
 
Najua haumjui Ngeleja that's y..pata kumjua kidogo

WASIFU WA MHESHIMIWA WILLIUM MGANGA NGELEJA (THE CURRICULUM VITAE)

Particulars/ Husishi/Moja moja
Jina: WILLIUM
Jina la kati: MGANGA
Jina la mwisho/ukoo: NGELEJA
Tarehe kuzaliwa: 05/10/1967
Wasifu wa ndoa: AMEOA
Anuani: SLP 2000 DAR ES SALAAM
Simu ya kazi: 0754710070

Taaluma yake
2001-2002: CERTIFICATE YA SHERIA YA MAWASILIANO YA MITANDAO YA SIMU WITWATERSRAND UNIVERSITY SOUTH AFRICA
1996-1999: MASTERS IN LAW (LLM)UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1991-1994: LLB UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1987-1989: A-LEVEL IHUNGO HIGH SCHOOL
1983-1986: O-LEVEL MPWAPWA SECONDARY SCHOOL
1976-1982: PRIMARY EDUCATION(ELIMU YA MSINGI) BITOTO PRIMARY SCHOOL

Historia ya kazi
2005-2015: MBUNGE BUNGE LA TANZANIA (JIMBO LA SENGEREMA)
1/12/2007-08/02/2008: NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI
Feb 2008-May 2012: WAZIRI NISHATI NA MADINI
2000-2005: MWANASHERIA MKUU VODACOM TANZANIA
1995-2000: MWANASHERIA MKUU PRICE WATERHOUSE COOPERS COMPANY
1994-1995: OFISI YA MWANASHERIA MKUU KWA AJILI YA MAFUNZO YA SHERIA YA NCHI NA UTUMIZI SAMBAMBA NA USIMAMIZI WAKE

Wasifu kisiasa ndani ya chama (CCM)
1980-1981: MWENYEKITI WA VIJANA SHULE YA MSINGI BITOTO
2012-2017: MJUMBE HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Na huo ndioo wasifu wa mheshimiwa Ngeleja...

dada unayajua matokeo ya vijiji na vitongoji huko sengerema kwa ngeleja....
 
dah ccm kila mtu na kundi lake, asante kikwete kwa kuasisi makundi ya urais ccm!
 
Umelipwa kiasi gani kuweka post hii? Hivi kweli hata kwa kufikiria kwa mbali Ngeleja anaweza kuwa Rais? Be serious bwana!

Jakaya ameifanya Taasisi ya Urais idharaulike, na kila mtu kujiona kuwa anaweza kuongoza hii nchi.
 
Taifa limegeuka na kuwa taifa la wachuuzi.
Mtanzania mwenye njaa ameamua kuwa dalali wa tiketi ya kwenda ikulu bila aibu.
Tanzania kwasasa ni taifa la machekibobu kuanzia rais, jaji, waziri hadi muandishi wa habari.

Watanzania ndio tumekuwa wapumbavu kiasi hiki?
 
Najua haumjui Ngeleja that's y..pata kumjua kidogo

WASIFU WA MHESHIMIWA WILLIUM MGANGA NGELEJA (THE CURRICULUM VITAE)

Particulars/ Husishi/Moja moja
Jina: WILLIUM
Jina la kati: MGANGA
Jina la mwisho/ukoo: NGELEJA
Tarehe kuzaliwa: 05/10/1967
Wasifu wa ndoa: AMEOA
Anuani: SLP 2000 DAR ES SALAAM
Simu ya kazi: 0754710070

Taaluma yake
2001-2002: CERTIFICATE YA SHERIA YA MAWASILIANO YA MITANDAO YA SIMU WITWATERSRAND UNIVERSITY SOUTH AFRICA
1996-1999: MASTERS IN LAW (LLM)UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1991-1994: LLB UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1987-1989: A-LEVEL IHUNGO HIGH SCHOOL
1983-1986: O-LEVEL MPWAPWA SECONDARY SCHOOL
1976-1982: PRIMARY EDUCATION(ELIMU YA MSINGI) BITOTO PRIMARY SCHOOL

Historia ya kazi
2005-2015: MBUNGE BUNGE LA TANZANIA (JIMBO LA SENGEREMA)
1/12/2007-08/02/2008: NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI
Feb 2008-May 2012: WAZIRI NISHATI NA MADINI
2000-2005: MWANASHERIA MKUU VODACOM TANZANIA
1995-2000: MWANASHERIA MKUU PRICE WATERHOUSE COOPERS COMPANY
1994-1995: OFISI YA MWANASHERIA MKUU KWA AJILI YA MAFUNZO YA SHERIA YA NCHI NA UTUMIZI SAMBAMBA NA USIMAMIZI WAKE

Wasifu kisiasa ndani ya chama (CCM)
1980-1981: MWENYEKITI WA VIJANA SHULE YA MSINGI BITOTO
2012-2017: MJUMBE HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Na huo ndioo wasifu wa mheshimiwa Ngeleja...

Sasa hiyo cv inamfanya awe muadilifu?? Madudu yake wakati yupo kwenye wizara unadhani tumesahau?

Hizo cv kila mwana ccm anazo ila inapokuja kwenye issue ya uadilifu ndo zero. Huyu hana unafuu maana wizara tu ilimshinda.
 
Ngeleja wako arudishe pesa zetu za escrow bilioni 1.6 sifa mpe hukohuko kwenu.
 
MH.WILLIUM MGANGA NGELEJA SULUHISHO BORA MADINI

Itakumbukwa kuwa sekta ya nishati na madini ilishawah kukaliwa na nawazir wengi mno wakuwemo kina Mzee Msabaha,Mzee Daniel Yona na wengine wengi tuu,lakini hao wote walikuwa wanaishia kuwa katika wizara hiyo kwa muda wa miaka 2 na nusu na muda mwingine miwili kamili, ni mawazir watatu tuu akiwemo mh.Rais Kikwete pamoja na mh.Willium Mganga Ngeleja ndio waliokaa kwa muda mrefu kulingana na ugumu wa wizara hiyo,Mh.Kikwete alikaa miaka 6 na mh.Willium Mganga Ngeleja alikaaa miaka 5 na miez 8 kitu kinachoonyesha upambanaj mkubwa kwenye wizara hii na mh.Ngeleja, kwaukweli mambo aliyoyafanya yatabaki kuwa msaada mkubwa kwa Tanzania yetu,yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo mh.Ngeleja aliyafanya alipokuwa ktk wizara ya Nishat na Madini ikiwa ni kwa muda wa miaka 5 na miez 8,:-

1.Itakumbukwa kuwa Ngeleja ndiye aliyepambana kwa hali na mali mpk kuhskikisha kunapatikana maeneo zaidi kwa ajili ya wachimbaji wadogowadogo.

2.Itaendelea kukumbukwa kuwa ngeleja ndie muasisi wa utaratibu wa mfuko maalum wa kuwasaidia wadogo nchini kitu ambacho kinazungumzwa na wachimbaji wadogo mpaka leo,na hata juzi nilipokuwa ziarani Geita nilipata kutembelea maeneo ya wachimbaji wadogo na walimtaja Ngeleja kama mkombozi wao,na daima wataendelea kumtukuza kwa anachokifanya kwani anafanya mambo mazur anapokabiziwa majukum ya kijamii.

3.Mwezi April 2010 mh.Ngeleja alipiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa madini ghafi ya Tanzanite yenye ukubwa unaozidi gramu1,kitu ambacho juzi nilivyokuwa nazungumza na baadhi ya mawazir na baadhi ya viongoz wa juu wa chama walikipenda na kusema Ngeleja anafaa kuingia wazir mkuu wa Tanzania au hata Raisi kama akiamua kugombea

4.Mh.Ngeleja ndie muasisi wa utaratibu wa kutoa hati ya uasili(certificate of origin) kwa wanaouza madini ya Tanzanite nje ya nchi ikiwa ni mkakati wa serikali kudhibiti uuzwaji haramu wa madini ya Tanzanite,kitu amabcho hata Prof.Muhongo anajivunia sasa na kipindi fulani hivi ktk ziara yake mererani yanapopatikana madini ya Tanzanite mh.Muhongo alimtaja Ngeleja kama msaada mkubwa katika hilo...

Mwisho
Watanzania tunapaswa kuwasemea watu kwa mabaya yao na mazuri yao yalio mengi kwani hakuna mwanadam aliye kamili,..Ngeleja kafanya mengi sana sekta ya madini na hayo hapo juu ni kwa uchache wake.
 
Huyu jamaa ni hatarii sana, mi namkubali kwa kweli ana uwezo wa kipekee, he deserves to be the president of Tanzania 2015
 
WASIFU WA MHESHIMIWA WILLIUM MGANGA NGELEJA (THE CURRICULUM VITAE)

Particulars/ Husishi/Moja moja
Jina: WILLIUM
Jina la kati: MGANGA
Jina la mwisho/ukoo: NGELEJA
Tarehe kuzaliwa: 05/10/1967
Wasifu wa ndoa: AMEOA
Anuani: SLP 2000 DAR ES SALAAM
Simu ya kazi: 0754710070

Taaluma yake
2001-2002: CERTIFICATE YA SHERIA YA MAWASILIANO YA MITANDAO YA SIMU WITWATERSRAND UNIVERSITY SOUTH AFRICA
1996-1999: MASTERS IN LAW (LLM)UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1991-1994: LLB UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
1987-1989: A-LEVEL IHUNGO HIGH SCHOOL
1983-1986: O-LEVEL MPWAPWA SECONDARY SCHOOL
1976-1982: PRIMARY EDUCATION(ELIMU YA MSINGI) BITOTO PRIMARY SCHOOL

Historia ya kazi
2005-2015: MBUNGE BUNGE LA TANZANIA (JIMBO LA SENGEREMA)
1/12/2007-08/02/2008: NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI
Feb 2008-May 2012: WAZIRI NISHATI NA MADINI
2000-2005: MWANASHERIA MKUU VODACOM TANZANIA
1995-2000: MWANASHERIA MKUU PRICE WATERHOUSE COOPERS COMPANY
1994-1995: OFISI YA MWANASHERIA MKUU KWA AJILI YA MAFUNZO YA SHERIA YA NCHI NA UTUMIZI SAMBAMBA NA USIMAMIZI WAKE

Wasifu kisiasa ndani ya chama (CCM)
1980-1981: MWENYEKITI WA VIJANA SHULE YA MSINGI BITOTO
2012-2017: MJUMBE HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Na huo ndioo wasifu wa mheshimiwa Ngeleja...
 
Hana lo lote. Fisadi mkubwa huyu. Urais atausikia kwenye bomba. Arud8sje kwanza fedha yetu ya eskroo
 
Hivi naye kila uchao kuanzishiwa ma thread hayana kichwa wala miguu hajui inamtoa katika watu makini, anageuka mpenda sifa na anayejikweza!!???
 
Back
Top Bottom