Asante sana Ngeleja

Asante sana Ngeleja

WILLIAM NGELEJA NGUZO YA MAFANIKIO SERIKALI YA AWAMU YA NNE,SEKTA YA NISHATI

Willium Ngeleja ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa,mbali na kuwa mbunge kwa kipind cha pili sasa, Ngeleja amewah kuwa naibu na hatimaye wazir wizara ya nishati na Madini kwa takriban miaka mitano na nusu kuanzia Januari 2007 hadi mei 2012 alipojiuzulu kwa kuwajibika kisiasa kutokana na shinikizo la bunge.

Ni ukweli ulio wazi kwamba mafanikio makubwa tunayoyaona sasa kwenye sekta ya nishati na madini, ni matokeo ya akili inayochemka,maono,mipango mizur na ubunifu mkubwa wa Ngeleja alipokuwa wazir wa nishati kwa kipind chake hicho.

Hata utafutaji wa gesi asilia na mafuta ulianza kushika kasi zaid Ngeleja akiwa waziri, ukiwemo mradi mkubwa wa ujenz wa bomba la gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam, eneo la kinyerezi kunakojengwa kituo kikubwa cha kupokelea gesi hiyo baada ya kuchakatwa katika vinu vyake vilivyoko Mtwara na songosongo.

Jambo moja kubwa na nuhimu kwa ustawi wa taifa letu,lililofanywa na serikali ya raisi kikwete wakat Ngeleja akiwa wazir ni ubunifu wa bomba hilo la gesi asili lenye urefu wa km 500.

Ngeleja kwa kushirikiana na TPDC mwaka 2009 walibuni mradi huo wa bomba la kusafirishia gesi asili na kuanza utekelezaji kabla hajajiuzulu uwaziri mei 2012.

Nawataja Ngeleja na TPDC katika ubunifu huo kwa sababu mradi huo haukuwa kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2005-2010, kwa hiyo bila maono na ubunifu wao mradi huo usingekuwa hapo ulipofikia leo.

Walichofanya Ngeleja na TPDC, kinafananishwa na maono na ubunifu alioufanya mh.Kikwete mara tuu baada ya kuingia madarakan kwa kubuni na kuanza ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma(Udom) mwaka 2006 kwani ujenz wa chuo hiki haukuwa kwenye ilani ya chama ya mwaka 2005-2009.

Mpango kabambe wa umeme vijijini kupitia REA, mpango huu ulibuniwa katika mwaka wa fedha wa 2010 /2011.

Mpango huo ni mojawapo ya mambo mengi makubwa mazuri ambayo raisi Kikwete amefanya katika utawala wake na kusimamiwa kwa umahiri mkubwa na Ngeleja na sasa Prof. Muhongo ambaye alimrithi Ngeleja.
Mpango huo wa umeme vijijini, ni muhimu sana kutokana na ukweli kwamba hakuna nchi yeyote duniani iliyopiga hatua ya maendeleo bila Kuwa na nishat ya umeme wa uhakika kwa wananchi wake.

Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mpango huo imeiwezesha serikali kuwafikishia umeme asilimia 36 ya wananchi vijijini had sasa, Hii ni zaid ya lengo lililokuwa limepangwa na serikali la kuwafikishia umeme asilimia 30 ya wananchi ifikapo mwaka 2015,hivyo serikali imevuka lengo ililokuwa imejiwekea kupitia REA,Tanesco na washirika wa maendeleo.

JUA KWA UFUPI SABABU ZA KUMFANYA NGELEJA KUWA RAISI 2015 AMBAYE SISI VIJANA TUTAHAKIKISHA ANAFANIKIWA
 
Wewe uliyeleta huu uzi unajitafutia kibarua kwa Ngereja, au wee ndiye Ngereja mwenyewe
 
Napenda tujenge hoja swala la kumuita mtu mwizi bila hoja yoyote ni uzembe wa kufikiri, Ngeleja ni mwizi kwa lipi hasa,...
 
Samahani KIJANI, unamuongelea Ngeleja yupi? Ni huyu aliye kwenye mgawo wa fedha za escrow a/c au ni mwingine tofauti na wa escrow?
 
Kama ni hoja za kutetea wezi wewe jenga tu, watakuja wezi wengine kuchangia. Mavi ni mavi tu hata ukapulizia uturi.
 
Hizi threads za kipuuzi zinazomuhusu huyu fisadi mwingine aliyewahi kuwa Waziri mzigo mwingine na hatimaye akatoswa mbona zinaongezeka kwa kasi ya kutisha!? Ni aje? Au ndio katika kujipanga kuelekea Ikulu 2015!? Hana sifa huyu hata moja amuone mwenzake Kikwete jinsi nchi ilivyomshinda. Urais si lelemama wa mafisadi na Mawaziri mizigo kupigana vikumbo kutaka kuingia Ikulu. Waachieni watu wenye hadhi na sifa za kuwa viongozi wa Tanzania. Tumeshachoshwa na wahuni na wezi ambao wanagawana pesa za wezi hadi Ikulu kama vile wanagawana njugu.
 
Dah... Wanasiasa wataliwa kweli kwa online campaigns mwaka huu

Huyu mtu aliyejiita Celline Joseph ni kama ana ndoa ya wiki jana na Ngereja. Kisha anzisha thrds kadhaa kwa subjects tofauti kwa muda mfupi aliojiunga. Nimesha muuliza kama ana uhusiano wa kimapensi na ngereja lakini hajibu maana sifa anazomwaga ni zile za Shaaban Robert kwa mkewe.
Hebu angalia wasifu wake;

Join Date : 12th December 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 6
Likes Given 0
 
Samahani KIJANI, unamuongelea Ngeleja yupi? Ni huyu aliye kwenye mgawo wa fedha za escrow a/c au ni mwingine tofauti na wa escrow?

Namwongelea Mhe. William Mganga Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kupitia tiketi ya CCM...

Kijana mwenzetu, mchapakazi na tumaini la Tanzania. Tumuunge mkono... achana na propaganda za kisiasa. Kutajwa katika escrow ndo nini? Fuatilia kiundani ili upate majibu ya how and why... mbona unakuwa mvivu wa kufanya lazi?
 
Kumbe kundi la watu wa hovyo sasa ni kubwa. Kwa mtindo huu pesa inaweza kumulawiti yeyote. Hawa wamesajili ili kumsifia Ngereja. Naamini yeye mwenyewe huenda naye ni mmoja wao. Lakini kwa kigezo chochote, hata kwa sura tu, Ngereja ni mwenye IQ ndogo. Naye awe mtawala jamani!

Hebu angalia watetezi wake au yeye mwenyewe:

Mtanzania Safi
Join Date : 9th October 2014
Posts : 32
Rep Power : 317
Likes Received:6
Likes Given:0

Celine Joseph
Join Date : 12th December 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received:6
Likes Given:0
 
Samahani KIJANI, unamuongelea Ngeleja yupi? Ni huyu aliye kwenye mgawo wa fedha za escrow a/c au ni mwingine tofauti na wa escrow?

Namwongelea Mhe. William Mganga Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kupitia tiketi ya CCM...

Kijana mwenzetu, mchapakazi na tumaini la Tanzania. Tumuunge mkono... achana na propaganda za kisiasa. Kutajwa katika escrow ndo nini? Fuatilia kiundani ili upate majibu ya how and why... mbona unakuwa mvivu wa kufanya lazi?

Mimi NILISHATANGAZA NIA kugombea Ubunge JIMBO LA SENGEREMA.Hivyo namsubiri huyu Mr.ESCROW 2015 tujenge hoja na tuombe kura mbele ya Wananchi aone kama ataambulia chochote...
 
WILLIAM NGELEJA NGUZO YA MAFANIKIO SERIKALI YA AWAMU YA NNE,SEKTA YA NISHATI

Willium Ngeleja ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa,mbali na kuwa mbunge kwa kipind cha pili sasa, Ngeleja amewah kuwa naibu na hatimaye wazir wizara ya nishati na Madini kwa takriban miaka mitano na nusu kuanzia Januari 2007 hadi mei 2012 alipojiuzulu kwa kuwajibika kisiasa kutokana na shinikizo la bunge.

Ni ukweli ulio wazi kwamba mafanikio makubwa tunayoyaona sasa kwenye sekta ya nishati na madini, ni matokeo ya akili inayochemka,maono,mipango mizur na ubunifu mkubwa wa Ngeleja alipokuwa wazir wa nishati kwa kipind chake hicho.

Hata utafutaji wa gesi asilia na mafuta ulianza kushika kasi zaid Ngeleja akiwa waziri, ukiwemo mradi mkubwa wa ujenz wa bomba la gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam, eneo la kinyerezi kunakojengwa kituo kikubwa cha kupokelea gesi hiyo baada ya kuchakatwa katika vinu vyake vilivyoko Mtwara na songosongo.

Jambo moja kubwa na nuhimu kwa ustawi wa taifa letu,lililofanywa na serikali ya raisi kikwete wakat Ngeleja akiwa wazir ni ubunifu wa bomba hilo la gesi asili lenye urefu wa km 500.

Ngeleja kwa kushirikiana na TPDC mwaka 2009 walibuni mradi huo wa bomba la kusafirishia gesi asili na kuanza utekelezaji kabla hajajiuzulu uwaziri mei 2012.

Nawataja Ngeleja na TPDC katika ubunifu huo kwa sababu mradi huo haukuwa kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2005-2010, kwa hiyo bila maono na ubunifu wao mradi huo usingekuwa hapo ulipofikia leo.

Walichofanya Ngeleja na TPDC, kinafananishwa na maono na ubunifu alioufanya mh.Kikwete mara tuu baada ya kuingia madarakan kwa kubuni na kuanza ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma(Udom) mwaka 2006 kwani ujenz wa chuo hiki haukuwa kwenye ilani ya chama ya mwaka 2005-2009.

Mpango kabambe wa umeme vijijini kupitia REA, mpango huu ulibuniwa katika mwaka wa fedha wa 2010 /2011.

Mpango huo ni mojawapo ya mambo mengi makubwa mazuri ambayo raisi Kikwete amefanya katika utawala wake na kusimamiwa kwa umahiri mkubwa na Ngeleja na sasa Prof. Muhongo ambaye alimrithi Ngeleja.
Mpango huo wa umeme vijijini, ni muhimu sana kutokana na ukweli kwamba hakuna nchi yeyote duniani iliyopiga hatua ya maendeleo bila Kuwa na nishat ya umeme wa uhakika kwa wananchi wake.

Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mpango huo imeiwezesha serikali kuwafikishia umeme asilimia 36 ya wananchi vijijini had sasa, Hii ni zaid ya lengo lililokuwa limepangwa na serikali la kuwafikishia umeme asilimia 30 ya wananchi ifikapo mwaka 2015,hivyo serikali imevuka lengo ililokuwa imejiwekea kupitia REA,Tanesco na washirika wa maendeleo.

JUA KWA UFUPI SABABU ZA KUMFANYA NGELEJA KUWA RAISI 2015 AMBAYE SISI VIJANA TUTAHAKIKISHA ANAFANIKIWA

Bi Celine,

Mbona hajaonekana kwenye mazishi ya MPENDWA? au ulimwakilisha?
 
Back
Top Bottom