Asante sana Ngeleja

Asante sana Ngeleja

mh.willium mganga ngeleja suluhisho bora madini

itakumbukwa kuwa sekta ya nishati na madini ilishawah kukaliwa na nawazir wengi mno wakuwemo kina mzee msabaha,mzee daniel yona na wengine wengi tuu,lakini hao wote walikuwa wanaishia kuwa katika wizara hiyo kwa muda wa miaka 2 na nusu na muda mwingine miwili kamili, ni mawazir watatu tuu akiwemo mh.rais kikwete pamoja na mh.willium mganga ngeleja ndio waliokaa kwa muda mrefu kulingana na ugumu wa wizara hiyo,mh.kikwete alikaa miaka 6 na mh.willium mganga ngeleja alikaaa miaka 5 na miez 8 kitu kinachoonyesha upambanaj mkubwa kwenye wizara hii na mh.ngeleja, kwaukweli mambo aliyoyafanya yatabaki kuwa msaada mkubwa kwa tanzania yetu,yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo mh.ngeleja aliyafanya alipokuwa ktk wizara ya nishat na madini ikiwa ni kwa muda wa miaka 5 na miez 8,:-

1.itakumbukwa kuwa ngeleja ndiye aliyepambana kwa hali na mali mpk kuhskikisha kunapatikana maeneo zaidi kwa ajili ya wachimbaji wadogowadogo.

2.itaendelea kukumbukwa kuwa ngeleja ndie muasisi wa utaratibu wa mfuko maalum wa kuwasaidia wadogo nchini kitu ambacho kinazungumzwa na wachimbaji wadogo mpaka leo,na hata juzi nilipokuwa ziarani geita nilipata kutembelea maeneo ya wachimbaji wadogo na walimtaja ngeleja kama mkombozi wao,na daima wataendelea kumtukuza kwa anachokifanya kwani anafanya mambo mazur anapokabiziwa majukum ya kijamii.

3.mwezi april 2010 mh.ngeleja alipiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa madini ghafi ya tanzanite yenye ukubwa unaozidi gramu1,kitu ambacho juzi nilivyokuwa nazungumza na baadhi ya mawazir na baadhi ya viongoz wa juu wa chama walikipenda na kusema ngeleja anafaa kuingia wazir mkuu wa tanzania au hata raisi kama akiamua kugombea

4.mh.ngeleja ndie muasisi wa utaratibu wa kutoa hati ya uasili(certificate of origin) kwa wanaouza madini ya tanzanite nje ya nchi ikiwa ni mkakati wa serikali kudhibiti uuzwaji haramu wa madini ya tanzanite,kitu amabcho hata prof.muhongo anajivunia sasa na kipindi fulani hivi ktk ziara yake mererani yanapopatikana madini ya tanzanite mh.muhongo alimtaja ngeleja kama msaada mkubwa katika hilo...

Mwisho
watanzania tunapaswa kuwasemea watu kwa mabaya yao na mazuri yao yalio mengi kwani hakuna mwanadam aliye kamili,..ngeleja kafanya mengi sana sekta ya madini na hayo hapo juu ni kwa uchache wake.

mbona unaanzisha thread nyingi za ngeleja?
 
celine nenda kampe ulale halafu hatuta danganyika tena ESCROW
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ngeleja yuko vzur wadau, tuwe wachambuz wazur tusifanye vitu kwa kuangalia juu juu tuu yuko safii sana huyo...Dada celine sikujui lakini nakupa bigup
 
Ngeleja huyuhuyu wa Sengerema au mwingine? huyuhuyu aliyechota za ESCROW juzi kati!!!?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ngeleja yuko vzur wadau, tuwe wachambuz wazur tusifanye vitu kwa kuangalia juu juu tuu yuko safii sana huyo...Dada celine sikujui lakini nakupa bigup
Kwani big up mpaka mjuane??!
We want our money back!!!
 
Kati ya vijana walioonesha nia yankuhombea urais hakuna anayemfikia ngeleja kwa legacy nzuri.
Yapo mabayabmachache aliyoyafanya lakini mazuri Ni mengi. Tuyachukue hayo mazuri twende ni naye 2015. Ni kijana shupavu na mwenye uwezo WA kufanya kazi ikaonekana.
 
haa haa kweli pesa inapofusha!
 
Nani kiongozi mwadilifu katika nchi hii asimame tumuone... Ngeleja ni kiongozi makini kaitumikia wizara ya Nishati na Madini na kuonyesha mafanikio makubwa...
 
Hivi anawalipa pesa kiasi gani huyu mtu kuja kumpamba humu?

Watanzania tuna macho na masikio,tunasikia na tunaona wenyewe nani anayetufaa sisi na nani ni mwizi,fisadi na mwenye kujikweza(kufikia hatua ya kumzaba makofi mlinzi wa ATM)

This time kombe halifunikwi,na hata likifunikwa,mwanaharamu hapiti

Ndio hapiti!!
 
atakuwa ngeleja mwenyewe kaja na hii ID. anasikilizia
 
Aisee huyu jamaaa anakuja kasi. Hapo mwazo alipotajwa ktk ban niliona km hakustahili kumbe legacy yake ni hatari tena ni tishio kwa wengine.
 
Ngeleja wa watanzania anatosha kabisa, tuna imani nae na ninaahid kupambana ktk hili kuhakikisha mambo yanakaa sawa na tunapata ushindi mkubwa, nenda Ngeleja nenda 2015 twende tuikomboe Tanzania yetu
 
Utendaji wake haswa ktk wizara ya nishati na madini unajiziilisha kuwa anaweza kuread the nation
 
Back
Top Bottom