Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
- Serikali inahusika na mauaji
- Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
- Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
- Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa (CCM iko silent mode)
- Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
- Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa(H. Polepole)
- Upinzani sasa hivi ni uhaini
- Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
- Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.
CCM haijatoa tamko lolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo
Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.