PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,493
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
  • Serikali inahusika na mauaji
  • Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
  • Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
  • Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa (CCM iko silent mode)
  • Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
  • Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa(H. Polepole)
  • Upinzani sasa hivi ni uhaini
  • Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
  • Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.

CCM haijatoa tamko lolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo

Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.
 
Mzee Mungu ambariki Sana kwa kujiweka kando na huu uovu uliofanyika, CCM hawawezi kuwaziba mdomo watu wote, hii nchi bado ina wazalendo wa kweli lazima waseme.

Nilisema humu, hata watu wasipoongea vitu visivyo na uhai vitaongea, maji yataongea, ardhi itaongea.. nk.
 
Yote haya ni sababu ya ubishi wa akina Kikwete na Samuya, hivi sababu za msingi za kugoma kufanya reforms ni zipi?
Kuna Moja akitaka kuwa Lahisi kwa kuchaguliwa wakati alijua Hana uwezo na mwingine alikuwa na agenda zake Binafsi za kujimilikisha maki za Taifa kadiri inavyowezekana
 
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
  • Serikali inahusika na mauaji
  • Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
  • Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
  • Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa
  • Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
  • Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa
  • Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
  • Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.

CCM haijatoa tamkonlolote juu ya sintofahamu iliyopo,

Kwa hakika hawa ndio wazee wachache Mungu amewahifadhi kwaajili ya wanadamu wengine. Mzee Warioba ni mshirika wa nuru halusia katika ukweli. Tunamshukuru Mungu kwa hii zawadi, na tunaomba ulinzi zaidi kwaajili ya mzee huyu, na mwenye kumgusa au kumkejeli kwa sababu ya kweli, akaibebe laana ya miilele. HAKI ndiyo chanzo kikuu cha amani na furaha ya kweli. Mzee Warioba, Lisu, hizo ni sauti zinazosimama katika ukweli bila ya kuhadaiwa kwa oesa au cheo.
 
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
  • Serikali inahusika na mauaji
  • Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya Kagera
  • Vyombo vya ulinzi na usalama vimeingizwa uchawa wa kisiasa
  • Polisi ndio wasemaji wakuu wa serikal, badala ya utashi wa kisiasa
  • Kuna mgawayiko mkubwa katika vyombo vya dola hasa vya ulinzi na usalama, kila kiongozi wa vyombo hivyo analinda maslahi yake badala ya Taifa
  • Watu wanatekwa kwa kusema ukweli, jambo la hovyo kabisa
  • Umoja wa kitaifa umo hatarini katika mazingira yaliyopo
  • Uchaguzi ulikuwa na kasoro ambazo hata mjinga anaweza kusema si kwa maslahi ya Taifa.
Kwa mazingira haya yote, mimi Jidu nadiriki kusema tuna serikali in total disarray, ambayo hata kesho haina utashi wa kuelewa itakuwaje.

CCM haijatoa tamkonlolote juu ya sintofahamu iliyopo,
Kikwete yuko kimya utafikiri hayupo

Asante Mzee Warioba kwa kuita a spade, a spade.
Labda niseme hivi:
Samia na Genge lake katika kufanya uovu wake kafanikisha kuwarudisha baadhi ya waTanzania katika kuutazama kwa karibu zaidi uTanzania wao.. 'Jidu ni mfano wa hao.
Kama kuna jambo la kumsifia huyo shetani, basi katika hili atakuwa kafanikiwa hata kama haikuwa nia yake iwe hivyo.
 
Hakuna ccm ya kutoa tamko. Kwa sasa hiyo ccm ni mali halali ya wahuni. Hao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho kwenye mustakabari wa nchi.
 
Back
Top Bottom