nI K
I can feel broo, unajua katika viumbe wengine inatokea tu wana bahati. na mimi ni mmoja wapo, sometimes I feel like i don't deserve her. She deserves someone better than me
nikweli wewe unaonekana hujatulia kabisa ila Allah anakupenda sana ndio maana kakuletea mwanamke huyu ili akusaidie kukuelekeza katika njia iliyonyooka la sivyo ungeishia pabaya. Unaonekana kabisa unapenda kujaribu pengine lakini kila ukimwangalia malaika wa Mungu huyo nafsi yako inakusuta. Mtunze huyo mtoto kwa kumtenda mema na hasa kuwa mwaminifu kwake, safari za nje ziwe added advantage kwenye uaminifu wangu ndio zitakuwa na maana lakini ukiteleza tu kwenye uaminifu umekwisha. Mungu amekupa kilicho bora kitunze kaka. Mimi mwenzako kama wewe nina kitu kilichobora sana na wewe unabahati, mimi nimekaa zaidi ya miaka 15 ndo nikapta mtoto wangu wa kwanza lakini nimekuwa nikimtendea mema mtoto wa watu bila kumchoka. Nitarudi jamvuni siku moja nikipata nafasi nitoe ushuhuda wangu ili niweze kuwaponya wanaume wengine barazuri. Allah ni mwema sana tuwatendee wema wake zetu na tuwahurumia wake zetu. Ramadhan Kareem