Asante mpenzi wangu wa zamani

Pole sana mkuu lady in action,
Wewe unadhani huwezi kuwa na furaha bila yeye kwa sababu ni LAW OF NATURE au ni kwa sababu tu umeamua iwe hivyo?
 
Last edited by a moderator:
pole dear wanaume hawaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mhm!!!!
 
Pole mwaya ila usijali utampata anaekufaa
 
Mimi tu naomba unijibu hili swali;
Hivi ni kwa nini wanawake hata uwe na elimu kiasi gani, cha muhimu kwako ni mapenzi na kuolewa tu hili ni kwa nini?

Nadhani hujaelewa, nilichogundua mimi, wanawake wanathamini mno mapenzi na kuolewa, kuliko kitu kingine chochote, bila kujali huyo mwanamke ana elimu kiasi gani, hii ni kwa nini?, ndicho nilicho uliza!!

asipaone ''batallion commander out of ammunition'' lara 1
 

Duh!! Nimeipenda hii mwanaume usimpe moyo wako bali nywele akizingua unakata inaota tena,😀😀

Pole sana masai dada songa mbele maisha bado yanaendelea...
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Nimeipenda hii mwanaume usimpe moyo wako bali nywele akizingua unakata inaota tena,😀😀

Pole sana masai dada songa mbele maisha bado yanaendelea...

Hahaha, mimi tukishabwagana cha kwanza kukibadili ni hairstyle mengine yanafata na nakuwa poa tu
 
Last edited by a moderator:
Siyhheeeeeeeee paaakalito,wou doyi
Unataka kujiua kwani mahari kashalipaa acha uzembe kwani ulizawa ukiwa na boy frend, roho yako inathamani kuliko sana kuliko mawazo ya ajabu unayojiwazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…