Asante mpenzi wangu wa zamani

Asante mpenzi wangu wa zamani

asanteni sana kwa mawazo yenu weekend ilikua poa sana

ila kuna watu wanakoment kama hawajawahi kuumizwa wakti wanawaliliaga sana.........nanii
 
Samahani saana Masai dada, nilikuwa kijijini ndo naingia mjini na kuona uzi wako.

Lakini nataka nikanushe kwamba simjui boyfriend wako,sijawahi kuwasiliana nae na hayo aliyokwambia akwambie kayatoa wapi.

Pili naomba huyo boyfriend wako aache tabia ya kusingizia watu, kama alitaka kukuacha angetumia mbinu nyingine sio kusema hoja zisizokuwa na mashiko na kukuchafua.

Mwisho kwakua umenilaumu sana humu jukwaani niombe msamaha na kunisafisha hapahapa sababu.nimesema sihusiki.

Tulipendana, tukaja kutofautiana, kila mtu akawa na maisha mengine, basi naomba tuishi kwa amani.

My take, Tulia, usifanye maamuzi ukiwa na hasira, punguza jazba, utampata mtu anayekuataili.

May dear Ex Masai dada TRUST YOURSELF UR A GOOD GIRL.
 
okey fine nimekuelewa but ki ukweli hili swala limeniumiza sana
ila nimeshukuru kuujua ukweli japo nashindwa kuelewa why watu hawana huruma namna hii.kwa nini umpende mtu akuadhibu kiasi hicho jamani
nilishangaa na kustaajabu maana nakujua ur sooo good thats why niliandika dear ex pamoja nakwamba tuliachana kwa
 
Samahani saana Masai dada, nilikuwa kijijini ndo naingia mjini na kuona uzi wako.

Lakini nataka nikanushe kwamba simjui boyfriend wako,sijawahi kuwasiliana nae na hayo aliyokwambia akwambie kayatoa wapi.

Pili naomba huyo boyfriend wako aache tabia ya kusingizia watu, kama alitaka kukuacha angetumia mbinu nyingine sio kusema hoja zisizokuwa na mashiko na kukuchafua.

Mwisho kwakua umenilaumu sana humu jukwaani niombe msamaha na kunisafisha hapahapa sababu.nimesema sihusiki.

Tulipendana, tukaja kutofautiana, kila mtu akawa na maisha mengine, basi naomba tuishi kwa amani.

My take, Tulia, usifanye maamuzi ukiwa na hasira, punguza jazba, utampata mtu anayekuataili.

May dear Ex Masai dada TRUST YOURSELF UR A GOOD GIRL.

okey fine nimekuelewa but ki ukweli hili swala limeniumiza sana
ila nimeshukuru kuujua ukweli japo nashindwa kuelewa why watu hawana huruma namna hii.kwa nini umpende mtu akuadhibu kiasi hicho jamani
nilishangaa na kustaajabu maana nakujua ur sooo good thats why niliandika dear ex pamoja nakwamba tuliachana kwa yaliyotokea WEWE ULIKUA CHANZO ila una moyo wa kipekee na usingeyasema hayo kwa huyo kaka
nimemsamehe ila namuombea Mungu siku moja aje ajue sikustahili adhabu hiyo kwa kosa la kumpenda
 
Pole mwaya, yatapita tu

asante my dear ila sitakaa nisahau mpaka naingia kaburini

japo nime,samehe ila nimepata lesson kubwa sana
usimpende mtu akajua kabisa itakukost
 
Huyo mpenzi mpya angekuwa anakupenda kweli asingesikiliza maneno ya huyo ex wako.Na bora wote mmeachana nao maana wote wambea kwa kuanza kukaa na kukujadili wewe bora mmeachana
 
hapana mmmoja kakana kasema hakuse,a chochote mpaka sasa nipo kati hata sielewi lolote but i thank God am over it mamii
 
Mimi ndo Dear Ex, siwezi kuyaelezea yote hapa yaliyotokea ila My Ex anajua. Na ndio maana kwa uelewa wake kampa Id yangu ananitafuta coz tuliachana for good. Huyo boy wake wa sasa ni muongo coz sijawahi wasiliana nae na simjui.

My Ex com down, punguza jazba, usikurupuke coz watu watakutumia vibaya ukifanya maamuzi kwa hasira.

I knw nothing about your Ex
 
nishamsamehe as you can see am happy sana
am over it thanx for ur advice
 
Mimi ndo Dear Ex, siwezi kuyaelezea yote hapa yaliyotokea ila My Ex anajua. Na ndio maana kwa uelewa wake kampa Id yangu ananitafuta coz tuliachana for good. Huyo boy wake wa sasa ni muongo coz sijawahi wasiliana nae na simjui.

My Ex com down, punguza jazba, usikurupuke coz watu watakutumia vibaya ukifanya maamuzi kwa hasira.

I knw nothing about your Ex

may be uzuri wangu ndo unanikost simjui anaenitamani na anaenipenda

kidin.........
 
hapana mmmoja kakana kasema hakuse,a chochote mpaka sasa nipo kati hata sielewi lolote but i thank God am over it mamii

Time heals almost everything my dia usijali utakuwa poa tu atleast umejua bado mapema kuliko angekuacha uzame then ndio aanzishe hizo drama
 
Back
Top Bottom