Asante mpenzi wangu wa zamani

Asante mpenzi wangu wa zamani

Pole sana mkuu lady in action,
Wewe unadhani huwezi kuwa na furaha bila yeye kwa sababu ni LAW OF NATURE au ni kwa sababu tu umeamua iwe hivyo?
Bila samahani mkuu, wala hujadandia, you are welcome.

Hiyo LAW OF NATURE ndio kwamba wanawake wapo kwa ajili ya mapenzi na kuolewa tu, yaani ndio cha maana zaidi kwao kwa maneno mengine.

Naomba nifafanulie kidogo, unaposema LAW OF NATURE una maanisha nini?!
Imeandikwa wapi, kivipi na kwa nini?[/QUOT

dah!! hata mm nashangaa niliachana na x wangu niliona hakuna maisha mengine bila yeye sikutamani kuishi nashukuru JF nilipata moyo japo sidhan kama nitakuja kuwa na furaha bila yeye
 
Last edited by a moderator:
pole dear wanaume hawaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mhm!!!!
 
Mimi tu naomba unijibu hili swali;
Hivi ni kwa nini wanawake hata uwe na elimu kiasi gani, cha muhimu kwako ni mapenzi na kuolewa tu hili ni kwa nini?

Nadhani hujaelewa, nilichogundua mimi, wanawake wanathamini mno mapenzi na kuolewa, kuliko kitu kingine chochote, bila kujali huyo mwanamke ana elimu kiasi gani, hii ni kwa nini?, ndicho nilicho uliza!!

asipaone ''batallion commander out of ammunition'' lara 1
 
jambo moja la msingi ni kwamba mwanaume siyo oxygen unaweza kuishi bila mwaume wako bado hajaja hao ni wapita njia tu,Nakuomba wanaume usije kuwapa moyo wako watakuuwa siku wakianza maswaibu yao ila wape nywele wakikutibua unazinyoa zinaota zingine kamwe usimpe moyo mwanaume.

Duh!! Nimeipenda hii mwanaume usimpe moyo wako bali nywele akizingua unakata inaota tena,😀😀

Pole sana masai dada songa mbele maisha bado yanaendelea...
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Nimeipenda hii mwanaume usimpe moyo wako bali nywele akizingua unakata inaota tena,😀😀

Pole sana masai dada songa mbele maisha bado yanaendelea...

Hahaha, mimi tukishabwagana cha kwanza kukibadili ni hairstyle mengine yanafata na nakuwa poa tu
 
Last edited by a moderator:
Siyhheeeeeeeee paaakalito,wou doyi
Unataka kujiua kwani mahari kashalipaa acha uzembe kwani ulizawa ukiwa na boy frend, roho yako inathamani kuliko sana kuliko mawazo ya ajabu unayojiwazia.
 
Back
Top Bottom