Asante mpenzi wangu wa zamani

Asante mpenzi wangu wa zamani

Saa ingine utamu wa mapenzi ni kuumia,ila ex wako ndezi, umbea wa nn tena kidume...aghjktykuvy ntamtusi!!

kama ni kidume umbea ruksa ila kwa mwanaume wa kweli hawezi kufanya mambo hayo.
Hata huyo ex mpya nae hana jipya.
Sasa utakubali na kusikiliza maneno ya ex wa gf wako kweli?
Kuamini maneno ya kuambiwa moja kwa moja bila uchunguzi ni uke.nge zaidi ya mtu alosema
 
Hivi kuna wanaume wambeya namna hii? yaani mwanaume mzima unatafuta simu ya boyfriend wa ex wako ili umpe umbeya..damn! Hizo ndio zinaitwa fikira mgando!

Wanaume kama hao lazima waishie kuwa waganga wa kienyeji..
 
Don't put much blame on your EX. You deserve to be trusted and taken as you are by your new bf.
Kama kweli alikupenda asingesikiliza upande mmoja period!
 
Saa ingine utamu wa mapenzi ni kuumia,ila ex wako ndezi, umbea wa nn tena kidume...aghjktykuvy ntamtusi!!

Hadi mwanaume kufikia kumharibia huyo BBIE ujue nae kuna mahari kamvuraga jamaa,,,! Siunajua kesi ya upande mmoja lazima mlalamikaji ashinde,,,!
 
Hapa ndiyo mnapokoseaga, hivi kweli mtu anayekuacha kisa maneno ya ex wako kweli huyo ndiyo mtu uliyekuwa unamtegemea kwa hayo hapo juu?
Pole sana kwa yaliyokukuta , suicidal ideation ni mbaya sana , uwe unawaza vizuri ...maisha ni changamoto.

Baadhi ya waschana wana matatizo sana yaani unataka kujing"oa Roho sababu yakuachwa na mtu mzima mwenizio mliokutania ukubwani khaaa,,,,!
 
Mimi tu naomba unijibu hili swali;
Hivi ni kwa nini wanawake hata uwe na elimu kiasi gani, cha muhimu kwako ni mapenzi na kuolewa tu.., hili ni kwa nini?

Asili ya uumbaji wa MUNGU mwanamke hata awe RAIS km hana mwanaume anapungua,,,!
 
Najua namna ya kujihami mkuu, lakini namshangaa huyu mtoto mrembo kulilia matutusa, angejua ameponea chupuchupu kuachana nao asingethubutu. Mmoja nina uhakika ni mwanajf.

Mkuu mapenz upofu hujui anachofaidi huko,,,!
 
Hata usilie wala kujilaumu my dear. Hivi huyo aliyekuacha kisa tu kasikia maneno ya uongo na hajapata hata proof ukute, ndo angekuoa ingekuwaje sasa? Si angekuja akutelekeze ndani ya ndoa kisa maneno ya watu. Mtu asiyekuamini na hana msimamo, hastahili kuna na wewe kamwe. Tupa kuleee hao wote.

Ila ukipata mtu mwingine nafikiri mueleze mapema kuwa kuna dume-jike nililiacha linaniganda na maneno ya uongo. Afu nimegundua kitu, watu wanaoachwaga kwa makosa yao, ndo huwa wanajifanya wana visasi vya kipuuzi sana. Na ndo hao hao wakiulizwa kwa nini umeachana na fulani, basi atakavyomkandia huyo ex khaa kujisafisha tu mfyuuu. Mungu yupo nawe my dear, atakutetea tu dhidi ya huyo mzandiki.
 
Back
Top Bottom