dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Msimponde sana jamaa unajua Mapenz yanahusisha MOYO nahapa tumepata Stori ya upande mmoja tu hatujui huyu masai kamfanyaje huyo ex wake hadi kufikia hatua nayy kumwaga mboga kumbuka hawa watu kwa maelezo yake waliachana na kila mtu alikamata mzigo mwingine sasa iweje leo waharibiane ,,,,,,Mapenz hayanaga mshauriHivi kuna wanaume wambeya namna hii? yaani mwanaume mzima unatafuta simu ya boyfriend wa ex wako ili umpe umbeya..damn! Hizo ndio zinaitwa fikira mgando!
Wanaume kama hao lazima waishie kuwa waganga wa kienyeji..