Asante mpenzi wangu wa zamani

we,usijiumize kwa ajili ya wanaume.Akienda mwache.Nikuzae mimi ujiue kwa ajili ya mpumbavu mliyekutana ukubwani.Sitaki,sipendi
 
Bado kuna mtu analilia mapenzi kwa zama hizi!!???
Bwt pole ila kikubwa jifunze.
 
Back
Top Bottom