Asante mpenzi wangu wa zamani

na tena wapite hivii kwa speed ya light. If someone can’t do his/her part, he/she don’t deserve your heart mae.. hao ma X wamenikera mnoo.n dume zima unakaaje kuanza kujadili mambo yakipuuzi kama hayo??? tena akae kama hawajui vile, move on na don't look back unless there is an attractive stranger behind your back.. wanaume ni.mambulula tu.. usi invest sana kwenye mapenzi utaumia mnoooo. penda kwa afya mengine acha yatajifanya yenyewe...
Kwa nini unadhani wanaume ni mambulula tu..?
 
Mi huwa najiuliza , ivi mtu unapowaza kujiua unakua unahisi kwamba uko unakoenda utakutana na raha zaidi ya hizi za duniani.Hamna mwenye uhakika kama kuna raha au shida.
Pole sana masai dada maisha lazima yaendelee ila lililotokea liwe funzo kwako kwa mahusiano ya baadae.
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu kati ya wasichana ninaowafahamu vizuri ni pamoja na wewe! Mtoto mrembo, mweusi si mweusi, mwembamba wa wastani, mrefu, mwili umekatika kiaina kama wa nyigu, una degree ya kutoka udsm, nusu mmasai nusu mchagga, unalilia kisa huyo zezeta amemwambia bf wako ungo! Wote hao unaowang'ang'ania mie nawajua vizuri, nashindwa kuelewa kwa nini unataka kuangukia pua kutoka juu ya mkaratusi hivi hivi unajiona mchana kweupe! Nitafute nikupe data.

Naona na wewe unataka kuwa kamma dear x
 
samahani members sitaweza kujibu one reply after another

i love you all,

jambo moja la msingi ni kwamba mwanaume siyo oxygen unaweza kuishi bila mwaume wako bado hajaja hao ni wapita njia tu,Nakuomba wanaume usije kuwapa moyo wako watakuuwa siku wakianza maswaibu yao ila wape nywele wakikutibua unazinyoa zinaota zingine kamwe usimpe moyo mwanaume.
 
jambo moja la msingi ni kwamba mwanaume siyo oxygen unaweza kuishi bila mwaume wako bado hajaja hao ni wapita njia tu,Nakuomba wanaume usije kuwapa moyo wako watakuuwa siku wakianza maswaibu yao ila wape nywele wakikutibua unazinyoa zinaota zingine kamwe usimpe moyo mwanaume.

hahaaaaa.. mi like this aiseee. huyu aliekua nae bado ni monthly test mae, hajafika hata level ya midterm. ata asiumie kichwa
 
Back
Top Bottom