Ex wangu ni rafiki wa Mpenzi wangu mpya

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jamani naomba ushauri

Mwaka jana nilikuwa kwenye mausiano na mwanamke fulani tulipendana saana mimi na huyo mwanamke
Kwa bahati mbaya tukaachana

Baada ya sisi kuachana nilikaa siku nyingi bila mpenzi. Sasa last week nilitongoza mdada fulani apa apa kijijini kwetu na kwa bahati nzuri. Demu akakubali ombi langu. Sasa Jana nilivyokuwa natoka shamba nikamuona demu yupo na yule ex wangu.

Walikuwa wanapiga story wao wawili tu. Ni kapita zangu pale. Kumbe uku nyuma yule ex wangu
Akamsimulia demu kuhusu past yetu mimi na yeye. Jioni Nikaona sms ya demu kuwa ana taka kuonana na mimi
Nilikwenda kuonana naye. Cha ajabu nilipewa jibu kuwa mimi na yeye basi. Nilijaribu kuuliza sababu mtoto wakike aligoma kutowa sababu

Ila nina jua ni ex wangu ndo kabomowa penzi hili

Je huyu ex wangu ni mfanyeje?
 
Umepigwa
 
Wabembeleze kila mmja kwa wakati wake. Wakiingia laini wake kila mmoja kwa wakati wake. Halafu ukimaliza kuwala siku hiyo hiyo na kublock. Hakuna kitu itawauma kama hiyo
 
Huyo uliyemtongoza last week alikuwa bado hajawa mpenzi wako, alikuwa anachunguza nyendo zako na alipogundua wewe ni 'fire and forget' type amekutema. Tafuta mwingine huyo basi tena.
 
Jamani naomba ushauri

Mwaka jana nilikuwa kwenye mausiano na mwanamke fulani tulipendana saana mimi na huyo mwanamke
Kwa bahati mbaya tukaachana

Baada ya sisi kuachana nilikaa siku nyingi bila mpenzi. Sasa last week nilitongoza mdada fulani apa apa kijijini kwetu na kwa bahati nzuri. Demu akakubali ombi langu. Sasa Jana nilivyokuwa natoka shamba nikamuona demu yupo na yule ex wangu.

Walikuwa wanapiga story wao wawili tu. Ni kapita zangu pale. Kumbe uku nyuma yule ex wangu
Akamsimulia demu kuhusu past yetu mimi na yeye. Jioni Nikaona sms ya demu kuwa ana taka kuonana na mimi
Nilikwenda kuonana naye. Cha ajabu nilipewa jibu kuwa mimi na yeye basi. Nilijaribu kuuliza sababu mtoto wakike aligoma kutowa sababu

Ila nina jua ni ex wangu ndo kabomowa penzi hili

Je huyu ex wangu ni mfanyeje?
Usilielie ng'oa chuma kali kuliko wao
 
Back
Top Bottom