Asante mpenzi wangu wa zamani

Asante mpenzi wangu wa zamani

I wonder, on what circumstances, do I suppose to talk regarding the old craps or either I am mad!, Seems the guy is so much of pleb...
 
Una maana gani??

Cc mpwa Matola kwa ufafanuzi zaidi
Imebidi nisubilie page ya 5 kama Le Mutuz, mpaka dakika hii chenga.
hongera kwa kuielewa thread,
mi bado nang'aa sharubu.

Kuna mtu 'dear ex' na 'boyfriend'

em pima mizani hapo.

Matola mwenyewe hajaelewa.
Tena naombea Kiranga asitokee hapa ndio atanizidishia chenga na Deus Ex Machina.
 
Last edited by a moderator:
masai dada

Mdogo wangu kati ya wasichana ninaowafahamu vizuri ni pamoja na wewe! Mtoto mrembo, mweusi si mweusi, mwembamba wa wastani, mrefu, mwili umekatika kiaina kama wa nyigu, una degree ya kutoka udsm, nusu mmasai nusu mchagga, unalilia kisa huyo zezeta amemwambia bf wako ungo! Wote hao unaowang'ang'ania mie nawajua vizuri, nashindwa kuelewa kwa nini unataka kuangukia pua kutoka juu ya mkaratusi hivi hivi unajiona mchana kweupe! Nitafute nikupe data.
 
.......Kiongozi una roho ngumu sana. Unataka uonane nae umpe hizo data zako kisha yeye akiziona ni taarifa za kizushi anakuja kukutangaza na kukuandikia mashairi kama huyo Dear Ex wake.
 
Wanaume siku hizi ndio wanaongoza kwa umbeya,hawana aibu tena umbea wao ni mbaya bora wa kike,pole Mungu ni muweza.
 
I smell something like 'jicho la kisasi' hasa ikizingatiwa wewe masai dada umewahi kutaka upatiwe mafunzo flan flani ya kujiweka fit. Sasa hao ma x wako wajieke tayari kwa lolote
 
Last edited by a moderator:
samahani members sitaweza kujibu one reply after another

i love you all,
Mimi tu naomba unijibu hili swali;
Hivi ni kwa nini wanawake hata uwe na elimu kiasi gani, cha muhimu kwako ni mapenzi na kuolewa tu.., hili ni kwa nini?
 
Pole sana masai DADA uckate tamaa!!!
You are not yet defeated my best, you will be defeated when you give up or die!!!
LYF MUST GO ON, NO MATTER WHAT!!!
Calm down, RELAX with strong FAITH IN GOD!!
Everything gonna be alright!!!
STAND CALM, CALM, CALM!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi tu naomba unijibu hili swali;
Hivi ni kwa nini wanawake hata uwe na elimu kiasi gani, cha muhimu kwako ni mapenzi na kuolewa tu.., hili ni kwa nini?

Mkubwa usifiche maneneno,, mabinti hutaka kuzimiliki m.*boo zetu ilhali sie twakuta k.@ma zao overused. PERIOD.
 
pole masai dada ila take care usije ukachukua maamuzi mabaya wote waliopo humu wahanga wa mapenzi (me excluded) na wameweza ku survive kiubishi why not you? relax utampata akupendae kwa dhati

Hahahaaaa, mie pia excluded.
 
.......Kiongozi una roho ngumu sana. Unataka uonane nae umpe hizo data zako kisha yeye akiziona ni taarifa za kizushi anakuja kukutangaza na kukuandikia mashairi kama huyo Dear Ex wake.

Najua namna ya kujihami mkuu, lakini namshangaa huyu mtoto mrembo kulilia matutusa, angejua ameponea chupuchupu kuachana nao asingethubutu. Mmoja nina uhakika ni mwanajf.
 
Mkubwa usifiche maneneno,, mabinti hutaka kuzimiliki m.*boo zetu ilhali sie twakuta k.@ma zao overused. PERIOD.
Nadhani hujaelewa, nilichogundua mimi, wanawake wanathamini mno mapenzi na kuolewa, kuliko kitu kingine chochote, bila kujali huyo mwanamke ana elimu kiasi gani, hii ni kwa nini?, ndicho nilicho uliza!!
 
Huyo current ambae amekuacha na huyo ex wote ni viazi cherema vyenye funza. Mwanaume gani anatoka na wewe halafu anakaa na ex wako kukujadili? Woooi, temana na maponjoro hayo. You are so lucky wamejipambanua kwako

na tena wapite hivii kwa speed ya light. If someone can’t do his/her part, he/she don’t deserve your heart mae.. hao ma X wamenikera mnoo.n dume zima unakaaje kuanza kujadili mambo yakipuuzi kama hayo??? tena akae kama hawajui vile, move on na don't look back unless there is an attractive stranger behind your back.. wanaume ni.mambulula tu.. usi invest sana kwenye mapenzi utaumia mnoooo. penda kwa afya mengine acha yatajifanya yenyewe...
 
Nadhani hujaelewa, nilichogundua mimi, wanawake wanathamini mno mapenzi na kuolewa, kuliko kitu kingine chochote, bila kujali huyo mwanamke ana elimu kiasi gani, hii ni kwa nini?, ndicho nilicho uliza!!

nimeshindwa kuandika maana mdomoni nimejaa povu.. ngoja nilale
 
I hope mlikutana PM. vumilia atakuja mwingine. lol
 
Mdogo wangu kati ya wasichana ninaowafahamu vizuri ni pamoja na wewe! Mtoto mrembo, mweusi si mweusi, mwembamba wa wastani, mrefu, mwili umekatika kiaina kama wa nyigu, una degree ya kutoka udsm, nusu mmasai nusu mchagga, unalilia kisa huyo zezeta amemwambia bf wako ungo! Wote hao unaowang'ang'ania mie nawajua vizuri, nashindwa kuelewa kwa nini unataka kuangukia pua kutoka juu ya mkaratusi hivi hivi unajiona mchana kweupe! Nitafute nikupe data.

Huna lolote labda unataka kummwagia sera zako
 
Back
Top Bottom