Msimponde sana jamaa unajua Mapenz yanahusisha MOYO nahapa tumepata Stori ya upande mmoja tu hatujui huyu masai kamfanyaje huyo ex wake hadi kufikia hatua nayy kumwaga mboga kumbuka hawa watu kwa maelezo yake waliachana na kila mtu alikamata mzigo mwingine sasa iweje leo waharibiane ,,,,,,Mapenz hayanaga mshauriHivi kuna wanaume wambeya namna hii? yaani mwanaume mzima unatafuta simu ya boyfriend wa ex wako ili umpe umbeya..damn! Hizo ndio zinaitwa fikira mgando!
Wanaume kama hao lazima waishie kuwa waganga wa kienyeji..
Wavulana ndio vijana eeeh!!wavulana ni wengi kuliko wanaume siku hizi mamiii.. anataka uyo x aachwe alafu ye achukue nafasi yake nadhani...
Kumbe ni asili ya uumbaji wa Mungu, I see, kwa hiyo hili lipo kwenye maandiko?Asili ya uumbaji wa MUNGU mwanamke hata awe RAIS km hana mwanaume anapungua,,,!
Sie wazima kabisa. ..pilika za maisha tu sezae...Alafu Unajua Jana tu Usiku nilipanga kukutafuta..... Alafu umepotea wewe na Nkwela.... Kulikoni?
Muwazima Lkn?
Nipo wii.pilika tuMi sijambo wii umepotea sana
Kwani huwezi kuwa na familia bila kuolewa?
Wavulana ndio vijana eeeh!!
Sawasawa, kwa mujibu wa sensa kama sikosei, vijana ni asilimia 60 ya watanzania wote.
Sie wazima kabisa. ..pilika za maisha tu sezae...
Nipo wii.pilika tu
Unaweza...ila sie twapenda ya baba mama waliooana na watoto...Inapendeza
Huna lolote labda unataka kummwagia sera zako
Sawa, lakini huoni kuwa kuliweka hilo kama top priority(kipaumbele kikuu)is just aiming too low?!Sie wazima kabisa. ..pilika za maisha tu sezae...
Nipo wii.pilika tu
Unaweza...ila sie twapenda ya baba mama waliooana na watoto...Inapendeza
Haina noma mkuu Matege.basi sawa
Sawa, lakini huoni kuwa kuliweka hilo kama top priority(kipaumbele kikuu)is just aiming too low?!
Hivi ni kweli hakuna maisha mengine ya maana zaidi ya mapenzi na kuolewa?, cant we tune our focus on something else?
Maana kama mtu nafikia hatua ya kufikiria kujiua anasugest kuwa hakuna kingine cha maana tena, angu ilumbuye, gwangh'ana ugwenugu?
(sorry kwa kiswanglish)
Nadhani hujaelewa, nilichogundua mimi, wanawake wanathamini mno mapenzi na kuolewa, kuliko kitu kingine chochote, bila kujali huyo mwanamke ana elimu kiasi gani, hii ni kwa nini?, ndicho nilicho uliza!!
Bila samahani mkuu, wala hujadandia, you are welcome.Sorry kwa kudandia....its a LAW OF NATURE.....
"you dont want something else" apart from love and marriege, am I right?We don't want 'something else'....Every one has somethings s/he loves...heartbreak is the price we pay fornit kama visipokuja vile tunataka vije...mtoa mada hatojiua...anapitia wakati mgumu tu lakini atakuwa poa
Bila samahani mkuu, wala hujadandia, you are welcome.
Hiyo LAW OF NATURE ndio kwamba wanawake wapo kwa ajili ya mapenzi na kuolewa tu, yaani ndio cha maana zaidi kwao kwa maneno mengine.
Naomba nifafanulie kidogo, unaposema LAW OF NATURE una maanisha nini?!
Imeandikwa wapi, kivipi na kwa nini?[/QUOT
dah!! hata mm nashangaa niliachana na x wangu niliona hakuna maisha mengine bila yeye sikutamani kuishi nashukuru JF nilipata moyo japo sidhan kama nitakuja kuwa na furaha bila yeye
dah!! hata mm nashangaa niliachana na x wangu niliona hakuna maisha mengine bila yeye sikutamani kuishi nashukuru JF nilipata moyo japo sidhan kama nitakuja kuwa na furaha bila yeye