Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mimi na Honey Faith tumefanyaje mbona mnanificha??
Teh teh mnaloo....
Last edited by a moderator:
Mimi na Honey Faith tumefanyaje mbona mnanificha??
Sasa kwani nyepesi hii??
Mimi na Honey Faith tumefanyaje mbona mnanificha??
Kupendwa kutamu Lol hasa ukimpata mwaminifu agah utaenjoy ati@mamaafacebook
Eti sie ni couple???
Ilo tu au kuna lingine?? Mbona jibu lipo wazi tu??
I see, huyu jamaa ana guts kweli kweli aisee, sijui huu ujasiri nitauweza siku moja..!
Dogo sana ilo Honey Na jibu lake lipo mbona
Halafu jina langu halitakiwi kufupishwa zaidi ya mume wangu
Na jibu lake ni nini?
Kwani kuna mwengine anafupisha??
Hahahahahaaaaaa.....lol
Cc kiwatengu Ro.....au ngoja niahirishe
Hahahahaha yani my wii wewe sikuwezi.Unataka nidundwe mtoto wa watu.Shem wako hapo anatania bwana........
Nami nampenda sana mpenzi wangu Honey Faith, can't dare missing her and hers. You know what I am saying sweetbabie.