Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Sema suu nikutajie id yake
Suuuuuu!!!!!
Sema suu nikutajie id yake
Hapana sipo hapo mie natania lol
kwani vipi binamu, mbona umeshituka...?
Umeona eeeh na tena umpate anayekupenda yani ndio raha inaongezeka
Duuuh kupendwa rahaaa...😛😛😛
Aaaah ok maana bibi yangu na wewe umo?
nyie hata hampendeki wagumu kama sementi nyati😀😀
Wewe ni msemaji wa Eli79? Nijue hilo kwanza then nitiririke
nyie hata hampendeki wagumu kama sementi nyati😀😀
Mjukuu wangu mwaka huu mambo mapya sitak mchepuko wala mtu humu
Shemd usiseme hivyo...unataka nipendekeje?
Mbona sie tunapendeka tu shem wetu??
Babu yako namtaka ila nahema kwanza
huu ushemu nao unaweka giza
kama vile nilivyokuambia ujitoe kwangu mzima mzima
Usimfanyie hivyo babu yangu bwana!!!
Yeye piA anajuA nampenda