Asante Mpenzi! nakupenda sana

Asante Mpenzi! nakupenda sana

Asante kwa ushauri mkuu nitafanua hivyo kama na kama ataingia jf nitamuomba funguo za pm nikae nazo.
Cc kiwatengu

Pm ukatafute nini shem atafuatwa sana huko ni yeye tu kuthamini mlichonacho.vinginevyo unatafuta pressure tu
 
Last edited by a moderator:
Happy 2nd anniversary to mr and mrs kiwatengu. Mungu awaongoze na kuwatetea siku zote za maisha yenu. Ndoa yenu ikawe baraka na mifano kwa wengine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom