Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Asante sana pilau bado ila utajulishwa tu moto ukianza kuchochewa
ohooo hapo sawa i wish soon muwashe moto
Asante sana pilau bado ila utajulishwa tu moto ukianza kuchochewa
Hongereni sana..
Lakini nina swali dogo wakuu, je, hii ni kapo ya CC au inaexist kiukweli kweli...?
i wanna know tafazali...!
Hongereni sana..
Lakini nina swali dogo wakuu, je, hii ni kapo ya CC au inaexist kiukweli kweli...?
i wanna know tafazali...!
Ameishasema ni real couple subiria tu kadi ya mwaliko
Kuna sehemu nimejatwa kwenye uzi huu ila sijaona ni wapi, msaada
Yah umetajwa shem..na hii kesi ni nzito sana
Nimekuja shem, haya kwanza hiyo post sijaona bado
kiwatengu anasema mimi na wewe eti ni ......(Hadi nashindwa kuandika maana naona hadi aibu)Kuna sehemu nimejatwa kwenye uzi huu ila sijaona ni wapi, msaada
Itafute af uje ujibu tuhuma
Duuuh kupendwa rahaaa...😛😛😛
Yah umetajwa shem..na hii kesi ni nzito sana
Amesema mimi na wewe ni.......... Hapo ndo tumekuaje?
Mie hata naona aibu bora usome tu comments zilizopita utaelewa.....
Nianze kusoma zote???? Nipe japo kwa ufupi kwanza shem
Wewe my wii ndio utaifanya ionekane ni nzito kweli.....
Ni ya kweli....lol nna kiherehere eti?
I see, huyu jamaa ana guts kweli kweli aisee, sijui huu ujasiri nitauweza siku moja..!Ameishasema ni real couple subiria tu kadi ya mwaliko