MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Mmmmmhhhhhh
Last edited by a moderator:
hata sijajichanganya kamwe bebi mkubwa....
Maji ya shingo haya
Bi mkubwa usikonde? Unataka nikuachie?
hata kidogo mbona unaogelea vizuri tu...Maji ya shingo haya
vingine vya kurithi, unapokuwa mkubwa ndio vinaanza kutokea...Taarifa ilitakiwa ije mapema huu uking mswati umeanza lini
Umemsoma mwenyewe hapo juu mmmhhh
Mi naweza kukuachia bi mkubwa sema naweza nikaacha mimi akabadilisha mwingine kwa hiyo bora niendelee kuwepo tu
Komaa sana, wewe ndiye halali.
Unatambulika mbeke ya sheria kabisa..
Sheria inakutambua wewe..
hata sijajichanganya kamwe bebi mkubwa....