kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
huwa sitaki makelele katika haya mambo, wenyewe wananipenda sana, si unawaona wenyewe wanavyoelewana hapo...?Nimekuta nafurahi sana kwa ufunguzi wako huu wa mwaka...
huwa sitaki makelele katika haya mambo, wenyewe wananipenda sana, si unawaona wenyewe wanavyoelewana hapo...?Nimekuta nafurahi sana kwa ufunguzi wako huu wa mwaka...
nataka wenyewe mpange zamu....Ahhhhhhhaaa mwAmbie
Sas zam ushapanga
nitakucheki kaka....Kaka mkubwa nimeku PM..
nataka wenyewe mpange zamu....
nawwachia uhuru....ongea na wenzio!Binam panga wewe mume wetu
nawwachia uhuru....ongea na wenzio!
umesusaa...?Siongei nao
umesusaa...?
Congratulations mkuu kiwatengu, wengine bado tupo tupo kwanza.
nitakucheki kaka....
ndio wakati wako huu...Sijasusa ila nadeka tu
ndio wakati wako huu...
Sijapata mwenza chukua fursa basi
binamu kungwi, mimi na kiwatengu ndio viongozi wa panya road wacc sasa tuogope nini....?
Heenh.