Ngoja nijishauri kuacha sio kirahisi ujue
Hapo mimi sijaja kwa vile nimemuona ma mkubwa MankaM
Gud night😛😛😛😛
Ujasiri wa kusema mbele za wa watu " nakupenda mpenzi". Ujue wenzako bado tuko kijijini hatuyawezi hayo.
Kesho nitakuja kumsalimia kaka yangu naomba unipikie tambi kuku
Akupikie nani sasa...utapika mwenyewe
shemd ebu mpe mumeo tendo la ndoa kile cha asubuhi. achana na JF mapema hii
Hahahaha shemd nimeshampa bwana...
kwahiyo yeye anashughulika wewe unachat? mmmmmh ndio maana haupi............
Ameshaondoka kwenda kazini si unajua Dar foleni..
haya bana wewe umebaki mwepesi kama upepo
hata sijajichanganya kamwe bebi mkubwa....Amejichanganya vibaya