juu ya nini tena binamu yangu....?
juu ya nini tena binamu yangu....?
Huyu mpenzi wangu ni shida kwa kweli sijui unanisaidiaje shemeji
Najua mkuu ila mimi nangoza kwa kunyang'anywa kila ninapopata mwenza.
Atiiiiiiii
Hahahaaaa vip kwani wew ndio mke mkubwa???
Me nimekubali uwe mwenza
Tatizo ni kwamba mimi staki kuwa na mwenzangu daaa nitashindwa kwa kweli