Asante lara1

Asante lara1

patrickkkkky

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
468
Reaction score
288
Kupitia post yako ulielezea jinsi ya kukataa uzombi na friend zone mwaka huu na ukatoa tips za kupambana na watoto wa mjini. kweli after going through your thread ilinigusa sana kwani kuna msichana alikua kanifanya zombie kwa mda mrefu, stori ipo hivi..

I have been craving for this girl mda mrefu sana, kama ulivyosema wajanja walikua wanakuja wanakichafua na kusepa mtoto wa kiume nimewekwa pending.ikafika mahali nikasanda, nlivyopitia thread yako kama wiki mbili zilizopita nikasema why dont i turn things around this time????nikaazisha mawasiliano nae but this time na silaha tatu nlizopata kutoka kwako

1. PLAYING AN UGLY GAME
love is just a tricky thing. hapa nikaacha blah blah za kujaziana inbox na kumaliziana chaji calling everytime[which i used to do]. nikawa nikimchek na kuulizia ratiba yake and taking her out whenever she is free.. bili kama za akemi nikawa nazivumilia tu hapa mjini.

2.MTOTO WA KIUME KUJIONGEZA
mtoto akituma sms 'ooh i was trying to call you but may credit has fallen out' anajibiwa na bando la mwezi mzima

3.GOING BEYOND THE BOUNDARIES
hapa ndo nlipokupenda. do things that she never thought you would do, nakwambuka kuna siku nlipgia night kali nikwamwambia i cant sleep without seeing you leo, drove all the way to mbezi beach nikamchek for some minutes nikasepa,

MREJESHO: nimetoka kumsindikiza mtoto hapa, nimekula mzigo kuanzia asubuhi, and those love feelings nlishatua mzigo kitambo they are long gone hapa nlikua narudisha heshima ya kiume.kazi iiyoshindikana miaka mitatu imeisha ndani ya wiki mbili kupitia your msg kwa vijana dada yetu. goodluck kwa wote ambao wanafanyia kazi tip za lara1. GAME ON, WAITER LETE CASTLE MILK NYINGINE.
 
kwahiyo baada ya kula mzigo ndiyo mnaishia hapa au ndiyo mmeshafungua ukurasa mpya wa mapenzi......?
 
Hahahaha... safi sana.Kwahiyo sasa ndio unampotezea au wewe ndo unamfanya yeye zombie lako?!

Sasa kilio kinahamia upande wa pili maana zombies will be no more. Wenye kufuga mazombie wataishije sasa?! lara1 unajenga chumbani na kubomoa sebuleni, embu tafuta uwiano bana. Hii haijatulia kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hongera, Inaonekana We Kufungua Walet Ilikua Sheeeedah Madem Weng Bila Advrtsment Hujapata Mbunye
 
sa ivi yeye ndo zombie langu,lara1 katufungua macho.you just have to play it the bad way
 
Last edited by a moderator:
kupitia post yako ulielezea jinsi ya kukataa uzombi na friend zone mwaka huu na ukatoa tips za kupambana na watoto wa mjini. kweli after going through your thread ilinigusa sana kwani kuna msichana alikua kanifanya zombie kwa mda mrefu, stori ipo hivi..

i have been craving for this girl mda mrefu sana, kama ulivyosema wajanja walikua wanakuja wanakichafua na kusepa mtoto wa kiume nimewekwa pending.ikafika mahali nikasanda, nlivyopitia thread yako kama wiki mbili zilizopita nikasema why dont i turn things around this time????nikaazisha mawasiliano nae but this time na silaha tatu nlizopata kutoka kwako

1. PLAYING AN UGLY GAME
love is just a tricky thing. hapa nikaacha blah blah za kujaziana inbox na kumaliziana chaji calling everytime[which i used to do]. nikawa nikimchek na kuulizia ratiba yake and taking her out whenever she is free.. bili kama za akemi nikawa nazivumilia tu hapa mjini.

2.MTOTO WA KIUME KUJIONGEZA
mtoto akituma sms 'ooh i was trying to call you but may credit has fallen out' anajibiwa na bando la mwezi mzima

3.GOING BEYOND THE BOUNDARIES
hapa ndo nlipokupenda. do things that she never thought you would do, nakwambuka kuna siku nlipgia night kali nikwamwambia i cant sleep without seeing you leo, drove all the way to mbezi beach nikamchek for some minutes nikasepa,

MREJESHO: nimetoka kumsindikiza mtoto hapa, nimekula mzigo kuanzia asubuhi, and those love feelings nlishatua mzigo kitambo they are long gone hapa nlikua narudisha heshima ya kiume.kazi iiyoshindikana miaka mitatu imeisha ndani ya wiki mbili kupitia your msg kwa vijana dada yetu. goodluck kwa wote ambao wanafanyia kazi tip za lara1. GAME ON, WAITER LETE CASTLE MILK NYINGINE.

kumchek na kujua ratiba yake na kumtake out wheneve is free, akawa anajibiwa kwa bando la mwezi mzima akidai crdt imekata etc.
And finally umechukua wiki mbili tu kukamilirha haya na kupata mzgo!
I smell lies
 
Hongera, Inaonekana We Kufungua Walet Ilikua Sheeeedah Madem Weng Bila Advrtsment Hujapata Mbunye

yani mie mwanaume ambae anakuja kwa nguvu nyingi tena ya kutumia pesa.....kabla sijamkubalia ombi lake mara nyingi naona anakuja kunitumia na kuondoka.......bora mwanzo uwe mpole....nikishasema Yes....ndiyo unaweza kutumia pesa.....hii kidogo inanijengea imani kuwa hautanitumia......lakini kwenye kuleta maombi unakuja ya wallet....kha natoka nduki....mana najua hii mbinu umeitumia kwa wengi.....na umewapata wengi kwa mbinu hii.......
 
kumchek na kujua ratiba yake na kumtake out wheneve is free, akawa anajibiwa kwa bando la mwezi mzima akidai crdt imekata etc.
And finally umechukua wiki mbili tu kukamilirha haya na kupata mzgo!
I smell lies

haha,mkuu. what will i gain to lie in a forum ambao simjui mtu hanijui mtu.wiki mbili ndo unashangaa??
 
Back
Top Bottom