Asante lara1

Asante lara1

Invisible naona amekosea tu, naomba umsaidie kuupeleka huu ujumbe kwenye pm ya lara 1,

msaidieni tafahali.
 
Last edited by a moderator:
MREJESHO: nimetoka
kumsindikiza mtoto hapa,
nimekula mzigo kuanzia asubuhi,
and those love feelings nlishatua
mzigo kitambo they are long gone
hapa nlikua narudisha heshima ya
kiume.kazi iiyoshindikana miaka
mitatu imeisha ndani ya wiki
mbili kupitia your msg kwa vijana
dada yetu. goodluck kwa wote
ambao wanafanyia kazi tip za
lara1. GAME ON, WAITER LETE
CASTLE MILK NYINGINE.

Lara kauza siri ya kambi.
 
Mbona haina haja ya kuingia gharama izo bili za akemi kumfata mbezi usiku , ngoja nikae vizuri nitaandika njia kadhaa za kula watoto wa mjini kiulainiii !! Na izo njia hazijawai kufeli!
 
Mbona haina haja ya kuingia gharama izo bili za akemi kumfata mbezi usiku , ngoja nikae vizuri nitaandika njia kadhaa za kula watoto wa mjini kiulainiii !! Na izo njia hazijawai kufeli!

mkuu leta siri jamvini, hii ishakua vita
 
Mbona haina haja ya kuingia gharama izo bili za akemi kumfata mbezi usiku , ngoja nikae vizuri nitaandika njia kadhaa za kula watoto wa mjini kiulainiii !! Na izo njia hazijawai kufeli!



Hivi ulisema umekagonga kale katoto ka majani wa bongo record?
 
Waiting for mlolongo wa comment za lara 1,hebu muiteni huku aje avimbe bichwa!
 
Last edited by a moderator:
hakuna povu wala sabuni.

kwa hiyo unamanisha kwamba hujakosea.

ok,do something about it. grow some balls dude, stop being a crying princeSS. your comments makes you look like a 8yr kid. what you whinning about?
 
Back
Top Bottom