Asante lara1

Asante lara1

ok,do something about it. grow some balls dude, stop being a crying princeSS. your comments makes you look like a 8yr kid. what you whinning about?

kwa bahati zuri chote ulichokiandika juu sijakielewa, kwa hiyo ujumbe wako haujampata mlegwa au fanani amefeli kufikisha ujumbe wake kwa hadhira.
 
wewe unachunwa sie tunakula bure... mtoto wa mbezi beach matawi ya juu dawa yake ni dushe tu, hizo hela na mashow off acha macousin wake wamfanyie lol!!!!
 
kijana kuna uwezekano umekutana na masantura...na sasa waisifia mvua iliyokwishakunyea
 
Daaah jamaa kacollect trophy, ila bway haina haja ya mashindano sijui bill za akemi, sijui kuhonga, next time ukiona hasomeki chapa lapa fasta, miaka mitatu???? gaddem u know, hajakupa na diploma kabisa!!!!
 
Daaah jamaa kacollect trophy, ila bway haina haja ya mashindano sijui bill za akemi, sijui kuhonga, next time ukiona hasomeki chapa lapa fasta, miaka mitatu???? gaddem u know, hajakupa na diploma kabisa!!!!

kanipa act of valor.
 
Njaa na ubahili vilikua vinakuponza...karbu kwenye mahaba mtaji 2015.
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaawwwwwwwww! I cant be more proud of you! 😛oa
 
Mbona haina haja ya kuingia gharama izo bili za akemi kumfata mbezi usiku , ngoja nikae vizuri nitaandika njia kadhaa za kula watoto wa mjini kiulainiii !! Na izo njia hazijawai kufeli!

mkuu, ukizileta uni mensheni...
 
Back
Top Bottom