Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,734
- 118,638
Yanga alifika fainali bila hata ya kelele. Na alimfunga mwenyeji goli 1-0 siku hiyo mbelel ya mashabiki wake lukuki waliojitokeza siku hiyo. Ni vile tu sheria ya goli la ugenini ndiyo ilimuokoa siku ile na fedheha.
Maana waliopelekewa kwenye ile fainali ulikuwa siyo wa dunia hii.
Maana waliopelekewa kwenye ile fainali ulikuwa siyo wa dunia hii.