Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

Hivi ngoma kazi aliyokuwa anaifanya haina thamani eeh!!! Au nilikuwa namuona pekee yangu?
Vipi kabombe, tshabalala je??
Hawa ni muhimu zaidi kuliko ahoua wenu... Mnamuona kwenye magoli ila kazi ya hawa ni nzito
 
Back
Top Bottom