Halafu baadae anakupiga kizinga, tehMoja kati ya majibu yanayokera sana wakati wa mtongozo.
MmhHana hisia na wewe
Huo ndio ukweli
we kbabu lala sahz maana nshaharibu mipango yenu yote mnayopangaga mida hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dada hiki kibabu sijui kimekupa nini wallah
Hahaaaa. Lol
Inategemea na aina ya kamba unazozirusha Mkuu huenda ikawa kamba zako zinaendana kabisa na hiyo ahsante.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] njozi njemawe kbabu lala sahz maana nshaharibu mipango yenu yote mnayopangaga mida hii
Hahaaa. Kweli kabisaa dada ake.lolLol. Kamba za mgomba
hata mie?Asprin nitongoze tena
[emoji23][emoji23]Hayo ni mambo ya huko kwenu koromije
Dogo bado upo ligi ndogo sana,Wadada wa siku hizi hawahitaji nguvu nyingi kuwaingiza nyavuni. Omba techniques kwa wakongwe.Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
Ha ha ha! Hakika Mkuu! Kashindwa "kusema" nae amebakia "kumfukuzia kishenzi na kurusha kamba zake"Hayo ni mambo ya huko kwenu koromije