"Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

"Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

Hahaaaa. Lol


Inategemea na aina ya kamba unazozirusha Mkuu huenda ikawa kamba zako zinaendana kabisa na hiyo ahsante.
Au labda hata kamba hazihitajiki! Sio kila "mtongozo" unatumia mbinu hizo hizo!
 
Au labda hata kamba hazihitajiki! Sio kila "mtongozo" unatumia mbinu hizo hizo!
Hahahaaa. Umeonaeee.

Itakuwa hivyo sio bure sababu kupewa ahsante ni dhahiri kwamba alichokiongea hakishawishi na ahsante ndio saizi yake. Lol
 
Tatizo liko wapi kushukuriwa kwa kumpenda? Au ulitaka akwambie koma kunipenda?
 
Bora hivyo...kuna Mwingine anakwambia na Mimi nakupenda...yani umetupia mtongozo wako wa nguvu then from no where anakwambia na mimi Nakupenda..
Sasaaa, mwanamke akitongozwa anatakiwa ajibu vipi?
 
Ukiona hivyo ujue hujamvutia anatumia busara asante kwa kumpenda ila yy hajakupenda
 
Wanawake siku hizi hawatongozwi hivyo....

Omba date mbili tatu mwishowe unajilia zigo remix
 
Dogo bado upo ligi ndogo sana,Wadada wa siku hizi hawahitaji nguvu nyingi kuwaingiza nyavuni. Omba techniques kwa wakongwe.
hahahahahahahaha braza nipe ujuzi mana nakufa kifo cha kishua na tai shingoni
 
Back
Top Bottom