"Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

Thani10

Member
May 11, 2018
20
13
Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
 
kucheka ruksa
 
Hahaaaa. Lol

Inategemea na aina ya kamba unazozirusha Mkuu huenda ikawa kamba zako zinaendana kabisa na hiyo ahsante.
Ni kweli ila siyo kwa kamba zangu,ukiona mpaka nimekuja kuyatoa ya moyoni humu inabd uelewe kuwa Simba akikosaga nyama anakula majani.......
 
Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
Kawaida sana ujue hataki kuku discourage ukaumia ndo maana anakujibu hivyo we potezea utakwua na amani sana tu.
 
Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
akikujibu hivyo anza kujiongeza...
Honga tu..vi outing nk..ule mzigo huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom