Asante kwa kosa la pili

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kuniacha.
Kosa lako la pili ni kunipa nafasi nijue naweza kuishi bila wewe.
Asante kwa kosa lako la pili
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kunizoeza maneno matamu yaliyonifariji.
Kosa lako la pili ni wewe kuwa mkimya,umenifundisha kutojua unalonikusudia.
Asante kwa kosa lako la pili.
=
Kosa lako la kwanza uliniambia upo single kumbe una watoto,nilipojua uliniomba msamaha
Kosa lako la pili ni kuwa unaendelea na ex wako
Asante kwa kosa la pili
::
Kosa la kwanza
Ulinitumia meseji ukinitaka nifute namba yako na tuachane,nikatii
Kosa lako la pili unanipigia na kunisumbua,
Asante kwa kosa la pili maana umenithibitishia hutakuwa na msimamo nyakati ngumu za uhusiano.
::
ASANTE KWA KOSA LA PILI LIMENIONYESHA UPANDE WA KUSIMAMA.
=
 
Ni shairi? Ila lina ka-ujumbe fulani!
 
gheeeeeeeee! Tetra so sorry aisee.
but unajua nini maisha hayatupi mambo matamu tu.
muda mwingne nature yenyewe inakupa mambo magumu na inabidi uyapokee huna jinsi.

ila heri kuish na mchawi kuliko uish na mwanamke mwongo
 
Last edited by a moderator:
Afu raha kweli kumuangalia mtu ambae alikutesa wakati unampenda. Saa hiyo wewe ushamove on kitambo! Wakati analalama wewe unacheeka! Raha sana aisee!
 
Wanasemaje tatizo sio kosa, tatizo ni jinsi kosa lilivyoshughulikiwa!
By the way Tetra napenda namna yako ya uwasilishaji, very artistic!
 
Last edited by a moderator:
kiufupi sijaelewa ulichoandika...possibly kitabu sikuandikiwa mie.
 
Wanasemaje tatizo sio kosa, tatizo ni jinsi kosa lilivyoshughulikiwa!
By the way Tetra napenda namna yako ya uwasilishaji, very artistic!

::
Kaunga
Nimeishiwa neno la kukusifu kwa michango yako Jf,,jua tu ur important in Jf
=
 
Last edited by a moderator:
Afu raha kweli kumuangalia mtu ambae alikutesa wakati unampenda. Saa hiyo wewe ushamove on kitambo! Wakati analalama wewe unacheeka! Raha sana aisee!

::
King'asti
Raha zaidi ni pale anapoku-cheat wakati unajua!!
Ni kama mtu anasimulia hadithi wakati unajua mwisho wake.
=
 
Last edited by a moderator:
gheeeeeeeee! Tetra so sorry aisee.
but unajua nini maisha hayatupi mambo matamu tu.
muda mwingne nature yenyewe inakupa mambo magumu na inabidi uyapokee huna jinsi.

ila heri kuish na mchawi kuliko uish na mwanamke mwongo

::
@gfsonwn
Umenena kweli
"I LIKE BITTERNESS PARTICULARY BECAUSE IT IS WHERE I BELONG"
Armando Guebuza
=
 
Last edited by a moderator:
amepata ujumbe najua yupo hapa hapa JF ni kweli alikuumiza sana amejifunza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…