Asalam aleykum

Hahaah sijapita muda kule, ngoja nicheki kama kibali changu bado kinaruhusu kuingia huko.
Mimi niliharibu nilipeleka petition ya maboresho kilichonikuta wee acha tu na mwishowe nikapigwa red card
 
Kumbe ndio yaliyokukuta..........pole. Inabidi nasi tunaohitaji maboresho kule tupige kimya tusije tumbuliwa.......!!!!
 
Kule kuache kama kulivyo ingia kimyakimya nenda nao sawa yakikuzidi unasepa kimyakimya
 
Back
Top Bottom