asalaaam aleykum bibi na bwana

seseme

Member
Sep 27, 2011
30
2
hakika mungu anatupenda soote na ndo maana ka 2 connect pa 1 ili kubadilishana mawazo,kugawana yale yalioko vichwani vyetu 2nayo yafkilia.long live jamii forums.
 

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Karibu sana, je we ni wa pande ipi. Magwanda au chama tawala
 

ABUMAN

Member
Dec 8, 2010
52
7
Karibu sana, je we ni wa pande ipi. Magwanda au chama tawala
,wewe kilichokutisha ni hiyo salaam,maana mnaitakidi hicho CHAMA CHA DEMONSTRATION,hakikubaliki,kwanini mtu umuulize chama,halafu iweje,kuna ahadithi moja za watu wa kale,kuna watu walikuwa wanapita makaburini,mmoja wao akaona kaburi moja limejengewa vizuri akalisifia upeo wa kusia,ila moa ya watu ktk lile kundi akamwambia lakini lile ndilo kaburi la yule aliye kuwa mgomvi wako,basi yule jamaa akamalizia kwa kusema ndio maana limepasuka upande mmoja na lina chongo kama alivyokuwa,tuache kukithirisha kupenda/kuchukia maana ukimpenda mtu kupindukia itajafika mahala ukashindwa kumkosoa kama atakosea na tuache kumchukia mtu kupita kiasi kwani tujisikia aibu kumpongeza,haya ni mafundisho sahihi na anayetaka ayachukue asiyeyataka na ayawache,la muhima,nimefikisha na muumba anashuhudia katka hili
 

ABUMAN

Member
Dec 8, 2010
52
7
Aleykum Mkristo,karibu sana mkuu humu ndani
naam maana ya assalaam alayka kwa mtu mmoja au assalaam alaykum kwa wengi maana yake amani ya Allah(Mola) iwe juu ya huyo aliyepewa hiyo salaam,sasa kwa kuitikia km uivyokia Mkuu,maana yake nayeye amani ya Mkristo iwe kwake,sasa bora ungemjibu nawe pia au amani ya mungu nawe ama kama inakwaza basi ungemkaribisha tu,sisi sote watanzania tuache kuonesha ukerere
 

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,743
74,358
hakika mungu anatupenda soote na ndo maana ka 2 connect pa 1 ili kubadilishana mawazo,kugawana yale yalioko vichwani vyetu 2nayo yafkilia.long live jamii forums.

Karibu sana lakini tafadhali usiandike kama unaandikiana sms na marafiki zako, na jaribu kurekebisha kiswahili chako uelewe wapi pakuweka "r" na wapi pakuweka "l". Andika taratibu, usome ulichokiandika na kama umekosea kubofya (typing) unaweza ku-edit na ujumbe wako ukaeleweka vizuri na ukavutia wasomaji wengi kuliko ulivyoandika sasa.

Karibu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom