Arushaone

Arushaone

Last edited by a moderator:
MENTION ndie nani tena?

Ha ha haa ulichelewa sana kuja kijiweni...kuna kajama kanajulikana kwa tafsiri ya jina hilo MENTION kalitaka kuchafua hali ya hewa....naona kalishakuwa fixed. Ukiitwa kijiweni uwe unawah mzeee
 
Hahahah...ndio kusema umekosea au mbona watema mate kushoto halafu wafukia kulia!!!

Mie ni watu8 bhanaaa

Mbona mchokozi ivooo we watu8? Umeniacha nacheka kimya kimya lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom