Yaaani mambo ya binamu.......!!Machale yanakuplei shem eeh?
Ujumbe huu uwafikie PakaJimmy Kaizer Mzee wa Rula Filipo Erickb52 Lily Flower KOKUTONA Dark City na watu8.
Afadhali shem uwaambie hao wabishi.
si unaona navyo haujiamini
DONE!!!!
Umesahau kuuhifadhi kwenye bahasha na mie MwanajamiiOne nimeuona na kuusoma.
hahaha habari yako bana Mswati.....
Yaaani mambo ya binamu.......!!
roho zawapwita hawaamini
wewe kupata mwenza!!
Ha ha haa...una safari km bepari? Afu kesho warudi dar ajili ya wedding?
Duuuhhh,
Mbona umeshangilia kama kipofu aliyeonjeshwa kuona kwa mara ya kwanza katika maisha yake??
Wale wa 1947 lazima tujue jawabu tu; tena bila kukokota hata kama hujasema kitu.
Babu DC!!
Afu ukishajua...anataka kumwambia nini utafanyaje?
Unatafutwa na SACCOS yako yenye kombinesheni ya kina: Mr Rocky, Mwita Maranya, St. Paka Mweusi, Vin Diesel, Bishanga, na Katavi.
Shkamoo babu DC!