Arushaone umetisha!

Arushaone umetisha!

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
DSC05043.JPG
Hizi ni zana za Arushaone zilizotumika kurusha live mkutano wa chadema Ngarenaro Arusha hii leo, hapa alikuwa anabadilisha betri..
thread yenyewe ni hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mkutano-wa-chadema-arusha-mei-02-2013-a.html
 

hahahaaaaa!!teh teh!!
bro Arushaone kazi ya uandishi
wa habari ulisomea wapi vile?hizo zana mi hoiiii!!

 
Last edited by a moderator:
Makamanda wa Arusha wakiongozwa na Arusha one ahsanteni sana kwa live update..
 
Last edited by a moderator:
ha ha Arushaone mi admire you sana :hug::hug:
 
Last edited by a moderator:
Fafanua vizuri Raiza.. Unamaanisha nini hapo..? Inaenda deep au ni ile ya kawaida..?

hata ikienda deepjamani si mbaya namtoa uchovu we si kazi ndogo kuweka live updates yaani wanasema unacrame unaandika jf bado humohumo kuna watu unabishana nao ha ha ha he deserve that looo
kwani we imekuuma
 
Utapata wachumba kibao kwa kazi nzuri usisahau kuniacha kwa sadara mpwa Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom