Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Nikugawie chaji King Mswati???
chai ya nini simu yenyewe ma cover tu?
Nikugawie chaji King Mswati???
chai ya nini simu yenyewe ma cover tu?
Ha ha ha ha haaa
Haya bwana
Hivi upo hai.....penda cheko lako.....
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaa
Onyo kama unapenda posho!? chadema si chama sahihi kwani hawatoi hata shilingi, sana sana wapenzi na wanachama huingia mifukoni kukichangia chama, mfano jana licha ya kuacha kazi zake Arushaone baada ya bakuli kupitishwa nilishuhudia akichangia...Arushaone hana jipya!
Zaidi ya kufukuzia vijiposho vya chama!