Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Makamanda wa Arusha wakiongozwa na Arusha one ahsanteni sana kwa live update..
Pamoja sana kamanda!
Last edited by a moderator:
Makamanda wa Arusha wakiongozwa na Arusha one ahsanteni sana kwa live update..
power lolz!!!Peoples!
hahahaha. Leo nipo upareniTayari nishaweka ON lakini hicho kiswahili cha kipare mkuu...machale kun-desa!
hata ikienda deepjamani si mbaya namtoa uchovu we si kazi ndogo kuweka live updates yaani wanasema unacrame unaandika jf bado humohumo kuna watu unabishana nao ha ha he deserve that loo
kwani we imekuuma
Arushaone hana jipya!
Zaidi ya kufukuzia vijiposho vya chama!
Arushaone umenifanya kama vile nilikuwa uwanjani.big up
Utapata wachumba kibao kwa kazi nzuri usisahau kuniacha kwa sadara mpwa Arushaone
Hongera sana shemeji Arushaone lol
Shem pamoja sana. Nataka kuwazidi kete kina Ben Saanane na Madame B ili mimi na mdogo wako Arabela tuwe first family (president and first lady).
Shem pamoja sana. Nataka kuwazidi kete kina Ben Saanane na Madame B ili mimi na mdogo wako Arabela tuwe first family (president and first lady).