Hahaha! Wapi huko kuna mvua? Washa bluetooth nkurushie chupa moja chapu.Mnatutia kiu jamani.. Tunaogopa tope la mvua,nyie mnatudondosha mate..
Kwe kwe kwe! We nae toka lini ARVs zikakosana na whisky?
Mi nilidhani ya Dar.. hongera zenu..
Hahaha! Wapi huko kuna mvua? Washa bluetooth nkurushie chupa moja chapu.