Aliisahau hapa kwangu mchana!
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa ANGAZA!Hivi zinaoana bila tatizo!?
Kwema mke mwenza! Kwani roho inakuruka kwa kipi kipya usichokijua?Mke mwenza usinirushe roho!!kwema?
Kwema mke mwenza! Kwani roho inakuruka kwa kipi kipya usichokijua?
Yap manake nikija arusha huwa ananipokea mabegi stand
Kwe kwe kwe! We nae toka lini ARVs zikakosana na whisky?
Duh... kumbe hunters ipo kote kote.... Mwanza, Dar na Arusha.....
Afu wewe! Hujanionea Mungi wangu jamani?
Dozi ipi maana naona kama huo ni msamiati, Kaporondo unepigwa changa la macho hapi.
Maeneo ya Kinondoni charminglady . Tena zamani ilikuwa Hunters kweli,maana ndani unakuta vichwa vyenye mapembe vya zebra,tembo,ngozi za wanyama ukutani..
Palikuwa pa ukweli..