Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
- #101
umetsh mdada
santee....!
umetsh mdada
hahaaaa Wii naona kiroho chakupwita lol!!!!!!
The secretary asikutishe huyo ni mwanasiasa mwenzake tu hamna lolote
wii umeanza lini unoko?
ze sekretari amesha lewa gongo wii, huoni amechanganya paka na panya kwenye banda moja?
Wii sirudii ila nilikuwa nauliza ati.........
Lahaula Ze sekretari mchana huu keshapata hiyo kitu
Afu leo utalala na hela kwa ruksa yangu.
Umeona eeeh kaba hadi penaltyhahahaaa...... Belaee, huo mzigo umejaa malavidavi atii ukiibiwa mapenzi kwishnei.. Upo!?