***YOU and ME***
it's you and me my sweetheart, just you and me.........!
I love what we made together and i want you to know that no words can describe how deeply you touch my heart...
I tried so had to put my thought on a paper, but words escape every time i try......
I only know that i love you truly, i love you deeply more and more each day,,,,
i don't know what i would do without you!
YOU AND ME, ONLY YOU AND ME UNTIL OUR LAST DAYS
I LOVE YOU SO MUCH MY HUSBAND
******* Arushaone*******
Cc: Bishanga na wapambe wenzio naamini mbio zenu za sakafuni zimeishia ukingoni!!!!!!!!!
Vin Diesel, Mwita Maranya, PakaJimmy, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, Mzee na Katavi wote hao wako single wanatafuta mchuchu, chagua mzigo hapo kama u-single umekuchosha. Afu ulishakaguliwa wewe?humu mbona mnarusha roho ma singles sasa??
Hizi ngonjera zinaashiria malavidavi ya Arushaone kwa Lady doctor kushne.....no wonder lady d anajipendekeza.
Maneno mazito
ni matatizo ya kuuza zaabu feki ukalipwa dola feki,ngoja niingie zangu citibank nika draw mihela ya kumpeleka The secretary dubai
hiivi kumbe BAK ni teja sikujua mie
rafiki kumbe uteja mpaka huku?
Lady doctor atazirai na hivi alivyo na wivu nasikia Arushaone anammendea Juliana shonza
ladyfurahia mamaa paroko....! Usidhani neno 'teja' tunamaanisha wala madawa ya kulevya, hapana. Uteja wetu tunaujua wenyewe.hiivi kumbe BAK ni teja sikujua mie