Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
taarifa rasmi ni kuwa CDM Wamekubali kuahirisha mkutano baada ya IGP,MSAJILI WA VYAMA NA PM YAANI PINDA kuzungumza na uongozi wa CDM Taifa na kuomba wapewe mpaka tarehe 4 january wawe wamemaliza mgogoro wa umeya . pili polisi wao ndio wanatangaza kuahirishwa kwa mkutano huo na wanatangaza tarehe ya mkutano ni 5 january. yapo pia makubaliano mengine ya kuangalia utendaji kazi wa polisi ARUSHA.Thats all i can share it for now.
source its me. ama usubiri tamko lililotolewa mbele ya vyombo vya habari muda huu na Mwenyekiti wa CDM TAIFA.
Moderator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.
Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.

Amani unayo wewe na mafisadi lakini wa walala hoi na wananchi wa kawaida hatuna amani.....amani inatunzwa na wananchi wenyenye nyang'au weweModerator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.
Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.
Moderator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.
Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.
Moderator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.
Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.
Your peaceful Tz is robbing our rights and democracy. Ushauri mzuri sana huo, hata wanafunzi wa Udom wameutumia juzi. We koma na kujipendekeza kwako huku unasingizia amani. Tumeishawashtukia nyie wajinga mnaotuchezea huku mnadanganyia amani na utulivu. Ulaaniwe wewe unayekumbatia wizi wa kura kwa kisingizio cha amani.Moderator: hakuna uchochezi wa vurugu unaozidi hii post.
Silence him now please. Akatoe ushauri wake nchi zinazofanana na hali hiyo.
We need to continue with our peaceful Tz.
Mungu Ibariki Tanzania, Kidumu Chama cha Mapinduzi kinachotunza amani ya nchi yetu.
eti ana kadigrii ka teaching kakanunua .wakati akiwa mpambe wa mahita.tutakuheshimu ukileta mabadiliko ndani ya jeshi letu la police na sio kwa digrii yako. Unaweza kuwa na digrii hata tatu lakini ukashindwa kumshauri vizuri kamanda wako ambaye elimu yake ni ndogo na amepitwa na wakati katika kufanya maamuzi. Kwa mfano andengenye nasikia ana digrii lakini anayoyafanya hayaendani na elimu yake. Kwanza alipewa sana rushwa na majambazi pale morogoro, wakati ukifika tutamlipua ili ajue hii nchi sio ya ccm peke yake.
Umesema ukweli. Wanafundishwa ubabe bila ethics.Mie nafikiri majeshi yetu ,yana upungufu ktk mafundisho yao. huko sijui wananyweshwa BANGE wakidhani watakuwa wakakamavu ama vipi? maana hawa jamaa hata watoto wa chekechea wakigoma watawapa kichapo watoto hao kipigo cha mbwa mwizi.
Kifupi kuna tatizo kubwa sana ktk systems zetu zote za elimu na mafunzo.